Nimemtafutia kazi sasa anakataa kutoa penzi kwa bosi, mimi nimfanyeje?

Hatimaye maombi yameshinda...
umeambulia aibu kwa mdogo wako matokeo yake unakimbilia JF kutafuta "societal sympathy"
nasi tunakupiga kibuti ....umebaki na aibu ya milele mpaka unapokuja kuingia kaburini.
 
Wewe akili yako mbooooovu kabisa. Dogo ana akili sana. Nakuombea Mungu akupe maisha marefu ili uone mdogo wako akifanikiwa bila kungonoka halafu siku moja uombe msaada kwake.

Duu ila mizee mingine bwana, hovyo kweli. Mie nina kikampuni changu kimetoa viajira kadhaa kwa wadada na wakaka lakini sijawahi kumtaka demu ili nimuajiri. Kwanza sioni raha kugegeda mtu asiyenipenda, aliyetoa penzi s kwa kulazimishwa namazingira. Napenda kugonga mdada aliyeonesha interest kwangu. Huyo namfurahia mpaka kumoyo.
 
Toa tigo upate hela ya kumuhudumia dada akook mjini si mipango,,ndoooorooooooooboooooo ww
 
Kama riziki yake ipo, ipo tu hata kama itachelewa... unajuaje huyo boss angemla na kuacha labda ndio angenogewa na penzi motomoto la binti....

Na je angejiandaaje kulea mgonjwa kwa gharama huku akijuta kumponza na kuumpoteza mdogo wake?
 
jean phillipe beyun

kwa jinsi ulivyo weak kuna siku hata mkeo atakuja kukwambia kaahidiwa cheo kikubwa kwa sharti la kuliwa na wewe kwa jinsi ulivyohandle swala la dada yako ni dhahiri utakubali!!!!

Nakubaliana na wewe Jean Philipe Beyun, huyu jamaa kaonyesha udhaifu wa hali ya juu, yaani anamtoa dada yake kuingia katika shimo la moto, je ana uhakika gani wa usalama wa huyo bosi, ninavyojua huyo bosi hatotaka kutumia kinga na baada ya hapo atamtosa na kumsema vibaya.

Namshauri huyo dada aendelee na msimamo huohuo kama ni kazi atapata lakini si shauri kukubali upuuzi wa huyo bosi na kaka yake.
 
Wakuu habari zenu,


Nina mdogo wangu wa kike, ni wa mwisho kwetu kuzaliwa, amemaliza chuo miaka 2 iliyopita hakua amepata kazi, amekua nyumbani tu muda wote huo. Kwa kweli for the past two years nimetembea sana kwenye mashirika mbali mbali kumtafutia kazi bila mafanikio. Hadi ilipofika December mwaka Jana nilipomlilia hali bosi mmoja ambae tuna muingiliano wa kikazi katika mashirika yetu.

Mimi huenda kwenye shirika hilo kila mwisho wa mwezi kwa mambo yahusuyo hesabu za shirika za mzee huyu mwenye roho nzuri, akaongea na HR manager wa hapo na hatimae mdogo wangu akaingia kazini baada ya mchujo wa karibu watu 1500 katika mtihani wewe kuandika baadae oral kwa kweli ilikua muujiza.

Sasa amebakiza wiki moja amalize probation, miezi miwili iliyopita bosi wake alimwomba uhusiano na mdogo wangu akamkataa akamwambia yeye ana mtu wake, yule bwana hajakata tamaa ameendelea kumkumbushia jambo hilo binti hadi sasa yule bwana kuona hali imeshindikana akamuita na kumwambia wazi kwamba kama unakataa ombi langu basi sitalipeleka jina lako kwa ajili ya confirmation, akasema anayo sababu nyingine ya kisheria ya kutom confirm.

Hivyo kazi yake ipo hatarini, sasa amelileta rasmi kwangu kuona tunafanyaje kuokoa hii hali, mimi nikamwambia akubali tu kuwa nae haitampunguzia chochote, nikamshauri wazi tu kwamba maisha wakati mwingine ni lazima ujitoe sadaka mwenyewe, watu wote waliofanikiwa wamepita njia ngumu sana na hata wakikueleza huwezi amini ni siri ya mtu moyoni.

Nimejaribu kumpa mifano mingi ya wanawake waliofanikiwa na anaowaona wamekalia viti vikubwa asilimia tisini ni pichu
Lakini binti kasema yeye hawezi kufanya hivyo acha akose tu kazi kwamba ana mtu wake. Kwa kweli nimekasirika sana kwa kitendo hicho, yule mzee alienisaidia pia anaungana nami kwa hili, sasa basi nimemwambia binti kama akipoteza hiyo kazi kwa ujinga wake sitaki kumuona hata kwangu, arudi kijijini kabisa kwa wazazi, maana amewapigia simu kama vile kunisemea vibaya kwa ndugu mbali mbali.

Huyu mtu wake mwenyewe ni fake balaa, huwa tunakutana sana mjini humu akiwa na magumashi kibao sema tu namna gani vipi mambo ya kiume, ana faulo kibao tu. Yaani kwa kweli nimekasirika sana, mimi mwenyewe kazini kwangu nakimbilia hadi begi la bosi wangu kwenye gari asubuhi akifika kama mtoto, yote hiyo ni kujipendekeza ili mambo yaende. Mwaka juzi kuna bosi wangu mwanamke mbaya wa sura kama nini, mumewe alikua na kisukari, kila watu wakiondoka tunajifungia ofisini, lakini nilivumilia hadi alipohamishwa na sasa hivi naishi poa kazini, yote ni kulinda kazi.

Sasa najua wazi huyo bosi wake atatekeleza hicho kitisho anachotoa, hr siku zote wanapokea mapendekezo kutoka kwa line manager, akisema staff huyu ameshindwa probation HR hawezi kufosi, na hii mbinu inatumika sana hasa kwa new comers, huwezi kuruka, labda Mungu akusaidie usitongozwe na bosi yoyote.

Mkuu unatakiwa uvae viatu vya kaka... unatakiwa kumpa support dada yako. Ni mfano wa kuigwa! Je angekuwa mtoto wa kiume ungeleta huu uzuri hapa?

Mkuu Mwenyenzi Mungu yupo pamoja nae... Dada yako amesimamia imani yake na nina imani ataushinda huo mtihani.
Urudi hapa FJs kutujulisha dada amefanikiwa hicho kikwazo na amepata confirmation ya kazi yake....
 
dhiki isikuendeshe ukauza utu wako,kwa style hiyo hutoona noma hata kumwambua mkeo ajilengeshe ili uishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom