Nimemtafuna mke wake...!


Miss you mama watoto wangu..hii comment nimeiapprove sisemi kitu tena
 
Umeamua bora iwe lawama kuliko fedheha
 

Nafurahi umelitazama the same way nalitazama. Inakuwa mbaya zaidi anapofurahia tabia hizi hadharani na wengine kuunga mkono. Haipendezi kabisa! Namsihi sinafungu abadilike ama aje atueleweshe.

AshaDii mambo? Missed you.
Huyu kijana anaamini ataonekana mwanaume zaidi kwa kutangaza upuuzi kama huu...wewe puuza tu...na mimi nimepuuza.

Hey you... Missed you more. Mambo mswano (Vijana wanasema) lol

RR how are you doing lakini? Naomba lile kundi lenu liongeze tawi moja wapo la mafunzo (how to behave like a gentleman regardless unaharibu) 🙂
 
Last edited by a moderator:
Mke wa mtu anaenda kupanua miguu yake kwa mwanaume mwingine halafu anarudi nyumbani kwa mumewe na kujifanya bado anampenda?

Poleni sana mlio kwenye ndoa!
 
Miss you mama watoto wangu..hii comment nimeiapprove sisemi kitu tena

Baba watoto ndio negative side ya siye kuwa watatu, hadi zamu ikike na tulishakubaliana DEMBA (Asante kwa kulea dear, baba watoto yupo kama nilivyomuacha) na gfsonwin wawe na zamu kubwa kuliko yangu, maana miye nguvu zilishajiishia Lol.

Miss you too.
 

Nilitaka niendelee kukupa kampani hapa...ila naona blaza Kaizer keshawahi....
All good....😀:thumbup:
 
Last edited by a moderator:

Hakuna mke mzuri kuliko nke wa ujanani mpenzi AshaDii
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka niendelee kukupa kampani hapa...ila naona blaza Kaizer keshawahi....
All good....😀:thumbup:

Hahahahaa! No comment on that!

Ila on a serious note; am really glad to see yah.
 
Reactions: RR
U think u ar hero huoni hat aibu kutembea na mke wa rafikio afu unajisifu kwA uupuzi wako
 
Nilitaka niendelee kukupa kampani hapa...ila naona blaza Kaizer keshawahi....
All good....😀:thumbup:

Kumbe una adabu sasa hio amendment ya katiba tuifanyeje tuitishe kikao cha kikatiba?

Cc Asprin
 
Last edited by a moderator:
U think u ar hero huoni hat aibu kutembea na mke wa rafikio afu unajisifu kwA uupuzi wako

Mwanamke almost always has the final say when it comes to consensual sex.

Huyo mke naye ndo walewale tu kama walivyo wengine.

Kujifanya wema sana kumbe hawana lolote. Wakipata upenyo tu wanakusaliti.

Heri kubakia mseja kuliko kujitia kwenye hali ya kuwaza na kuwazua kila kukicha.
 
Who am I to say overrule that?! Mengi niliyonayo ya kusema nayaweka akiba ifikapo zamu yangu baba watoto 😛hoto:.

Good gal..sijawahi kujuuta kukuoa mapema kabla hawajakuona wengine😛
 

Ni kweli usemayo am the final say ila elewa huyu mwanamke tayar ndo yake ina matatizo na huyu ndo alikuwa mzuliishi wa kesi
Je kama katumia hiyo granted na udhaifu kumpata huyu mama

Lakini kikubwa watu wamebadilika hat huyu mama hana akili anatembea na rafiki/ shem kweli
Tunatakiwa kubadili tabia na kujua dhaman ya miili yetu
 

Ngabu you good?

Hivi wema wa mtu unaendana vipi na kufanya ama kutofanya sex nje ya ndoa? Naomba unieleweshe.

Suala la kuwa mseja, naamini ni chaguo tu or hiyo ni moja ya sababu but si sababu. Kuna wanawake hawaamini katika kuwa na mahusiano zaidi ya mtu mmoja. Hivyo naamini unauwezo wa kumpata, else itokee kasoro nyingine tu kwake.
 
Ngabu you good?

I'm wonderfully well, my friend.

Hivi wema wa mtu unaendana vipi na kufanya ama kutofanya sex nje ya ndoa? Naomba unieleweshe.

Una kamusi ya Kiswahili hapo ulipo uangalie fasili ya neno 'wema'?

Suala la kuwa mseja, naamini ni chaguo tu or hiyo ni moja ya sababu but si sababu.

Ni wazi ni chaguo na si shurutisho.

Kuna wanawake hawaamini katika kuwa na mahusiano zaidi ya mtu mmoja.

Kwanza, wako wapi hao wanawake wa hivyo?

Pili, umesema hawaamini. Kutokuamini jambo na kutokulifanya hilo jambo ni vitu viwili tofauti.

Tatu, kuna hata hao ambao unasema hawaamini katika kuwa na mahusiano ya zaidi ya mtu mmoja ambao bado hutoka nje ya mahusiano yao na wenza wao.

Kwa nini nasema hivyo? Kwa sababu, kwa mfano, mke wa mtu akichepuka tu mara moja moja kwa mtindo wa NSA, huko si kuwa na mahusiano ya zaidi ya mtu mmoja. Mahusiano ni zaidi ya screwing. Kuna date nights, hot dates, you name it.

Halafu, mahusiano nayo kwani ni lazima yahusishe mboli na kipapa tu? Je watu wakiwa wana flex huko kwenye ma Instagram, au kuambiana wanapendana huku JF pasipo waume, wake, au wenza wao kujua, hiyo inakubalika katika hali ya kawaida?

Hivyo naamini unauwezo wa kumpata, else itokee kasoro nyingine tu kwake.

Hahahaaaa how I wish it was that easy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…