NIMEMTAFAKARI SANA ALIYE SANIFU HII.

NIMEMTAFAKARI SANA ALIYE SANIFU HII.

Darubini1

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
393
Reaction score
431
IMG-20160407-WA0004.jpg
 
Hii picha kweli ina mengi, labda kwa kujua au kutokujua mchoraji kaongea mengi
Maana kila nilivyoitazama nimekuta kuna jumbe nyingi, hasi na chanya.
1.Anaelekeza maliwatoni
2.Anawakarimia wageni kufika Znz,
3.Anajaribu kuonyesha tamaduni za wenyeji na kadosari ndani yake,
4.Anasisitizia kuwa macho hayana pazia.
Sasa lengo kuu ndio liko mixed up.
 
Me nimependa chuchu na kajimzigo ka mamaa kamekaa kimvuto sana
Kajaribu kurahishisha endapo umelewa unatafuta pa kumwagia mabaki ya maji machafu, kitu cha kwanzau ukikutana na bango utaangalia embe konzi, pili yaliyomo, then where is the way.
 
Back
Top Bottom