Kweli tumetofautiana kwa nin niishi maisha ya mashaka hasa kwenye mambo yanayowezekana.....Kama ni mimi najenga kabisa hapo bila kujali itakavyokuwa uko mbelen na hata ikifikia mahal ikiwa mbaya nitamwachia nyumba na kila kitu ndan nitondoka na begi langu la nguo tu maadam tuna (m)watoto nae. Watu wanazawadia ma-girlfriend nymba na magar sembuse nilie unganisha nae damu bana...Na sintajal matumiz ya hizo mali tukishaachana auze, abomoe atajua yeye...
Ntaanza upya tena, Ila huna uhakika wa kupata pesa tena utang'ang'ana.
Anatokea mkoa wa tabora japo kasomea std 1 mpaka elimu ya chuo hapa dar.nashukuru ma great thinkers nahisi kupumua maana sumu ilinijaa
Mama mama! Mnyamwezi?? Sioi hata bure. Sishangai
Hasa pale kichwa cha nyumba anapokuwa mkia wa nyumba:angry:Hayo ni mambo yenu ya kifamilia sisi hayatuhusu...
Jana kuna kiugomvi cha maneno kilitokea baina yangu na wife katika maneno yaliyonishitua ni wife kuniambia mwanaume mzima hata kiwanja mpaka ninunue Mimi!! Iko hivi,ni majuzi kachukua mkopo akanunua kiwanja na akaanza kutoa kipaumbele tuanze ujenzi japo kuna Viwanja vingne viwili ninavyo ili nimeviandka majina ya first born wangu( wa nje ya ndoa) wana mum kauli hiyo imenifikirisha kuwa huenda hata tukijenga hiyo nyumba ipo siku ntapewa maneno ya manyanyaso kwan inaonekana kama ni individual asset not family kama nilivyochukulia.ushauri je wewe kauli hiyo unaichukuliaje?

Hayo ni mambo yenu ya kifamilia sisi hayatuhusu...
Leo umekuwa mwanamalundi? Manake yeye kila kitu huwa hakimhusu humu
Uza viwanja vyote nunua mkoko, tena posche new model imetoka. Nyumba kitu gani bana, hata kobe si anayo tena imepigwa tiles.
tafuta kiwanja kingine........hicho mwachie....mana ndiyo utakuwa wimbo wa taifa........
hii ni fursa naiona kwako kabisaa... miss chagga njoo huku mae
aisee mwanaume nawaambia tena usikubali mwanamke achangie maendeleo ya familia kwa asilimia kubwa atakunyanyasa lazima tu kama si leo kesho