jini makata
Member
- Jun 7, 2017
- 66
- 34
Salamu wa jf
Nina jirani yangu anampenda sana mkewe anamfanyia kila kitu ambacho kina stahili kwa mke anampa kila kitu kama mume ila mke wake anawivu balaa leo asubuhi mke kamuamshia dude mumewe mpaka majirani wote tumetoka kusikiliza.
Baada ya kwenda kusikiliza eti kuna mdada ana saloon jamaa akirudi kutoka kazini anapenda kumsalimia.
Kaja kwangu nimshauri kwa vituko hivi vya kila siku vya mkewe amfanye nini.
Mimi nimefikiria sana nikawaza na kuwazua nikamwambia jamaa labda ajaribu KUMPIMA MKOJO
Sent using Jamii Forums mobile app