Nimemshauri jirani yangu akampime mkewe mkojo

jini makata

Member
Jun 7, 2017
66
34
Salamu wa jf
Nina jirani yangu anampenda sana mkewe anamfanyia kila kitu ambacho kina stahili kwa mke anampa kila kitu kama mume ila mke wake anawivu balaa leo asubuhi mke kamuamshia dude mumewe mpaka majirani wote tumetoka kusikiliza.
Baada ya kwenda kusikiliza eti kuna mdada ana saloon jamaa akirudi kutoka kazini anapenda kumsalimia.
Kaja kwangu nimshauri kwa vituko hivi vya kila siku vya mkewe amfanye nini.
Mimi nimefikiria sana nikawaza na kuwazua nikamwambia jamaa labda ajaribu KUMPIMA MKOJO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuwa una mahusiano ya karibu sana na Sizonje wewe maana hata Sizonje kampima mkojo mtu mwenye kesi ya uchochezi!
 
Hawezi kukubali aise, hata mimi siku hizi nikienda hospitali Mkojo sipimi hata kwa dawa
 
wacha bwana kumbe manyege ni mautamu kama asali ? nielekeze ntayapataje hayo mautamu ya asali mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom