Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,544
- 18,237
Achana naoWalikuwa wanapima kama watawezana, sio kwamba mwanamke ndio kafika. Mwanamke mwenyewe yuko vizuri
Kabisaa mimi nikiulizwa utarudi saa ngapi leo najibu saa kumi na mbili afu natinga saa nne au tano.ukiwazoesha wanavyotaka Wana relax na kuleta ubeijing.Very correct, mi nina stori ila si kama ya jamaa ila yataka kufanana nayo. Manzi angu niko naye kwenye mahusiano almost 8 months hadi sasa. Sasa kitu ambacho nimekuja kuki notice kwa wadada au wachumba hawa, ukimzoeza kuwa unaosha vyombo na yeye yupo kakaa kuna siku atakuja kufoka kwanini hujaosha vyombo, hata kufua na majukumu mengine ambayo tumegawana kama Mama na Baba kwenye jamii yetu kulingana na nafasi zetu.
Mie huwa na kiutamaduni cha kufua nguo zangu na zake kama kuna nguo aliacha ghetto chafu anakuta nimezifua., sasa kuna siku yeye alipofika ghetto ile night akakuta sijafua nguo zake kama alivyozoea kukuta kwa sababu ya ubize wa kazi. Basi mdada alichukua nguo zake pekee ake akafua nikamuuliza kwani ukifua na zangu utapungukiwa na nini!!? Basi hakukubali kunisaidia kufua hizo nguo daah ila baadae sijui akili ikamjia akaenda kabatini akachukua nguo zangu akazifua..! Na hiyo ni baadae jioni kabisa mie sikutaka tuzozane kwa sababu ya kufua nguo
Hayo mambo ya nguo yanaelewaka lakini si chakula, tena kilichooikiwa ndani kwako. Hapo ni uchumba, je wakioana itakuwa je?Very correct, mi nina stori ila si kama ya jamaa ila yataka kufanana nayo. Manzi angu niko naye kwenye mahusiano almost 8 months hadi sasa. Sasa kitu ambacho nimekuja kuki notice kwa wadada au wachumba hawa, ukimzoeza kuwa unaosha vyombo na yeye yupo kakaa kuna siku atakuja kufoka kwanini hujaosha vyombo, hata kufua na majukumu mengine ambayo tumegawana kama Mama na Baba kwenye jamii yetu kulingana na nafasi zetu.
Mie huwa na kiutamaduni cha kufua nguo zangu na zake kama kuna nguo aliacha ghetto chafu anakuta nimezifua., sasa kuna siku yeye alipofika ghetto ile night akakuta sijafua nguo zake kama alivyozoea kukuta kwa sababu ya ubize wa kazi. Basi mdada alichukua nguo zake pekee ake akafua nikamuuliza kwani ukifua na zangu utapungukiwa na nini!!? Basi hakukubali kunisaidia kufua hizo nguo daah ila baadae sijui akili ikamjia akaenda kabatini akachukua nguo zangu akazifua..! Na hiyo ni baadae jioni kabisa mie sikutaka tuzozane kwa sababu ya kufua nguo
Hilo ni kweli kabisaAchana nao
Kabisaa mimi nikiulizwa utarudi saa ngapi leo najibu saa kumi na mbili afu natinga saa nne au tano.ukiwazoesha wanavyotaka Wana relax na kuleta ubeijing.
Hapana mkuu. Ndiyo maana hiyo hovyo nimeitia kwenye ".....". Ni wa busara sana kwa mtazamo wako lakini kwao wapendanao waweza kuishia kuonekana wa hovyo. Na hapo ndipo moto utakapokuwakia !!!Kwahiyo ushauri wangu ni wa ovyo?
Ulitaka nimwambie je avumilie au?
Hicho ndio nachojaribu kumwambia mleta mada, watu mkianza kukaa pamoja kuna tabia mbali mbali mnazoeshana na ndio kinachomkuta jamaa yakeVery correct, mi nina stori ila si kama ya jamaa ila yataka kufanana nayo. Manzi angu niko naye kwenye mahusiano almost 8 months hadi sasa. Sasa kitu ambacho nimekuja kuki notice kwa wadada au wachumba hawa, ukimzoeza kuwa unaosha vyombo na yeye yupo kakaa kuna siku atakuja kufoka kwanini hujaosha vyombo, hata kufua na majukumu mengine ambayo tumegawana kama Mama na Baba kwenye jamii yetu kulingana na nafasi zetu.
Mie huwa na kiutamaduni cha kufua nguo zangu na zake kama kuna nguo aliacha ghetto chafu anakuta nimezifua., sasa kuna siku yeye alipofika ghetto ile night akakuta sijafua nguo zake kama alivyozoea kukuta kwa sababu ya ubize wa kazi. Basi mdada alichukua nguo zake pekee ake akafua nikamuuliza kwani ukifua na zangu utapungukiwa na nini!!? Basi hakukubali kunisaidia kufua hizo nguo daah ila baadae sijui akili ikamjia akaenda kabatini akachukua nguo zangu akazifua..! Na hiyo ni baadae jioni kabisa mie sikutaka tuzozane kwa sababu ya kufua nguo
Kama nilivyo sema awali mwanamke akili yake ni kubwa ikamzidi mwana mke hivyo huyo jamaa yako amwache huyo dada au akubali kuburuzwa baada ya kumuoaMwanamke ana 40, jamaa ana 38
Hapa umenena kweli kabisaNi vyema kumuonesha tabia zako halisi mwanamke ambaye unakusudia kumuoa mfano wanawake wengi hawapendi mtu anayechelewa kurudi na mengine mengi hivyo ndivyo anakuzoea
Hayo mambo ya nguo yanaelewaka lakini si chakula, tena kilichooikiwa ndani kwako. Hapo ni uchumba, je wakioana itakuwa je?
Ni mwanamke na wote wako 40s.
Rafiki yako wa damu akija kukyomba ushauri utamuuacha apogee kisa mambo ya chumbani?
Soon unasutwa kwa mambo yasiyokuhusu.Kama una mbunye ya kumpa wagombanishe ili akuchukue wewe.Keng* moja wewe
Kumbe alikuwa anamtuma mdogo wake ndiyo maana sasa dogo kagoma kutoa taka lazima dada mkubwa anune dogo hana adabuMwanamke ana 40, jamaa ana 38