Sam82
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 295
- 193
Binti alikwambia ukweli upomuuliza tena mapema kabisa kabla hamjaanza mahusiano, pamoja na kukwambia ukakubali kumsamehe na kuanza mahusiano ukaona mahusiano tu hayatoshi ukaamua kuoa, sasa kwanini unageuka hivyo? kwanini hukumwacha kama ulikuwa bado hujasamehe?
Kijana ndoa siyo majaribio hivyo jifunge mkanda songa mbele na muone asiye na hatia mbele yako kwakua ushasamehe ila kama ulimtamani ndo ukome maana hakuna namna.
Kijana ndoa siyo majaribio hivyo jifunge mkanda songa mbele na muone asiye na hatia mbele yako kwakua ushasamehe ila kama ulimtamani ndo ukome maana hakuna namna.