KasiLuka
Member
- Nov 23, 2019
- 46
- 183
Hao tunawaita malegendary, hapo kwenye "kesho nikutafute" yaani kapindua meza, badala wewe ndio uombe kumtoa out yeye ndio anaomba, narudia huyo ni LEGENDARY ,Juzi wakati nageuka Dsm toka huko kaskazini nilipanda bus na dada mmoja siti ya pembeni.
Alikuwa ana kibinda nkoi kishuzi nini gauni Fupi ila alionekana mjamzito. Tulikuwa wa kwanza kufika na kupanda bus.Kwa lile tumbo kubwa basi nikawa namtreat kigentleman kama mjamzito safari nzima.
Na alikuwa anatuma balaa mpaka watu wakawa wanahisi sisi couple. Nikawa namjibu usijali pole atakuwa wa kiume si unajua wasumbufu.
Tukafika Dar.Usiku alivyofika nyumbani akanipigia kuwa kafika salama,nikamuaga bye mama K nikimaanisha kijacho. He!akanijibu nani mjamzito we mwehu nini?Ndio nilivyo kesho nikutafute uninunulie mbuzi rombo green view."Nikamwambia ntaangalia.
Aisee!
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app

