Nimemsaidia mdada nikidhani mjamzito

Nimemsaidia mdada nikidhani mjamzito

Kuna siku tulikua na sherehe. Mmoja wa wahudumu alikua anahudumia alikua na tumbooo. Nilajisikia vibaya mno na huruma juu yake kwanini watu wakatili hivi kuruhusu mtu na hali ile kuhudumia. Jaman tumbo ni kubwaaa
Kuna muda akaniomba favour ya chakula. Nikamwambia basi pumzika naenda kukuchukulia. Nikagika kwenye chakula. Nikawaambia naombeni mnisaidie chakula kwaajili ya dada mjamzito anahudumia. Wakaniuliza amekaa kwa wapi nikaqaonyeahea kidole yuleee paleeee.... naluambiaje?? Wale wengine walicheka kufa. Wengine mpk wakatola sehem ya kuserve. Wakaniuliza yule semitrela la bia? Nilitoa machooo... wakanambia asikuhangaishe huyo ni bia hizo ziko humo dada relax katulie tutampelekea tu.
 
Hakuna kitu sipendi kama mwanamke mwenye kitambi halafu sasa walivyo bize kwenye mkusanyiko wa watu hawakuombi kupita wanaku push tu na kitambi unajikuta upo pembeni hao wanapita zao.

 
Hahahaha wanakuwaga noma kweli
2019 nlikuwa natoka Morocco nlikaa na mdada mmoja Alinipelekesha daah hatari ila alikuwa mjamzito kweli mama Mapacha
Leo nimekumbushwa
 
Hakuna kitu sipendi kama mwanamke mwenye kitambi halafu sasa walivyo bize kwenye mkusanyiko wa watu hawakuombi kupita wanaku push tu na kitambi unajikuta upo pembeni hao wanapita zao.

Ukute kwenye usafiri wa umma sasa.Hawapendi kujishikilia hahahaa
 
Nakumbuka 2015 na rafiki yangu tulikuwa tunaelekea Tanga. Ubungo kabla ya kupanda basi kuna mdada tulikutana nae, simu yake ilikuwa inasumbua kwenye whatsapp, akaomba nimrekebishie, then kumbe bando lilimwishia hivyo nikaunga hotspot kwangu.

Muda wa kupanda basi nikakaa nae siti moja. Dah! mdada alikuwa kanona balaa, stori zilinoga mpaka sometimes nikawa namshika mipaja yake iliyojaa jaa kama kuku broiler, mara nasogeza mkono maeneo ya kati moyoni nikisema "Nyama nisiile basi hata mchuzi nisinywe?" dah! Nakumbuka sehemu za chakula na vitafunwa tulikuwa tunashuka na kununua, hadi watu wakawa wanadhani sisi ni wapenzi.

Alinipa contact bila shida na alishukia majani mapana, nami nilikwenda kushuka town na kuchukua chumba, siku ya pili nilionana nae town, nikamwambia situation niliyokuwa nayo jana yake!! Alinilaumu sana kwanini sikumwambia, muda huo ndio nilikuwa napanga kurudi Dar!! Akaniambia amekwenda kwenye harusi ya mdogo wake! Akirudi Dar atanitafuta!! Namba yake nimepiga block!!

Onyo
Tunapenda kula kimasihara lakini muda mwingine ukikikosa kimasihara achana nacho , huwezi jua Mungu amekuepusha na kitu gani.
Ulikuwa unamshikashika humo kwenye basi
 
Back
Top Bottom