Nimempiga mpenzi wangu, roho iliniuma

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Ilikua siku ya juzi maeneo X,,, mpenzi wangu aliniaga analala baada ya mimi kumwambia starudi nyumbani kwa sababu nina emergency,, kwakua alihisi namdanganya na ninaenda kwa mchepuko na ilikua kweli...

Huyu mdada anaishi kwake na mimi naishi kwangu, ila mda mwingi hua anapenda akae na mimi saivi tunaanza mwaka wa 2 kwenye mahusiano,

Baada ya kuniaga analala kumbe hakulala kawasindikiza marafiki zake, mida ya saa 5 usiku niko na mchepuko nampgia simu rafiki yake kasema wako wote...

moja kwa moja nkajiseme huyu bado yuko macho... jana yake asbui ikabidi niptie kwake,, nilvomuuliza jana usku alkua wapi akanijibu kejeli nkaishia kumpa kipigo heavy...

Baada ya kumpga jana asbui mida ya saa 3... jion nmemuomba msamaha.. kanisamehe,, marafiki zake wa kike kama wanne walkua wanapiga simu utadhani nmeua,, kanisamamehe nmemuaidi starudia tena.. ila roho imeniuma kumkosesha amani mpenzi wangu kwa makosa yangu mwenyewe... na istoshe tunadate tu
 
Vipigo vikianzia dating ni hatari kwa mahusiano..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Uvulana ni hatua tu ya utoto uliokomaa ila uanaume ukishajengeka ktk akili yako itakuwa kawaida sana kufanya women brain installation hata kwa makofi bila kuumia.
 
kanisamehe huku analia maana aliniambia nkimpiga ananiacha ila kanisamehe dah imeniuma na ndo mtu ananisaidia imeniuma sana kumpa stress
 
Ilikua siku ya juzi maeneo X,,, mpenzi wangu aliniaga analala baada ya mimi kumwambia starudi nyumbani kwa sababu nina emergency,, kwakua alihisi namdanganya na ninaenda kwa mchepuko na ilikua kweli...

Huyu mdada anaishi kwake na mimi naishi kwangu, ila mda mwingi hua anapenda akae na mimi saivi tunaanza mwaka wa 2 kwenye mahusiano,

Baada ya kuniaga analala kumbe hakulala kawasindikiza marafiki zake, mida ya saa 5 usiku niko na mchepuko nampgia simu rafiki yake kasema wako wote...

moja kwa moja nkajiseme huyu bado yuko macho... jana yake asbui ikabidi niptie kwake,, nilvomuuliza jana usku alkua wapi akanijibu kejeli nkaishia kumpa kipigo heavy...

Baada ya kumpga jana asbui mida ya saa 3... jion nmemuomba msamaha.. kanisamehe,, marafiki zake wa kike kama wanne walkua wanapiga simu utadhani nmeua,, kanisamamehe nmemuaidi starudia tena.. ila roho imeniuma kumkosesha amani mpenzi wangu kwa makosa yangu mwenyewe... na istoshe tunadate tu
Wee fala nini yaani wee uchepuke alafu demu wako asichepuke baadae ulalamike kuwa demu hajui style mpya za msomali kafia kwa fiata🤣🤣🤣🤣🤣
Demu wko wacha achepuke kwanza inaonyesha ni mzuri mpaka vidume vinamuhonga hela ili vile mbususu.
 
Ilikua siku ya juzi maeneo X,,, mpenzi wangu aliniaga analala baada ya mimi kumwambia starudi nyumbani kwa sababu nina emergency,, kwakua alihisi namdanganya na ninaenda kwa mchepuko na ilikua kweli...

Huyu mdada anaishi kwake na mimi naishi kwangu, ila mda mwingi hua anapenda akae na mimi saivi tunaanza mwaka wa 2 kwenye mahusiano,

Baada ya kuniaga analala kumbe hakulala kawasindikiza marafiki zake, mida ya saa 5 usiku niko na mchepuko nampgia simu rafiki yake kasema wako wote...

moja kwa moja nkajiseme huyu bado yuko macho... jana yake asbui ikabidi niptie kwake,, nilvomuuliza jana usku alkua wapi akanijibu kejeli nkaishia kumpa kipigo heavy...

Baada ya kumpga jana asbui mida ya saa 3... jion nmemuomba msamaha.. kanisamehe,, marafiki zake wa kike kama wanne walkua wanapiga simu utadhani nmeua,, kanisamamehe nmemuaidi starudia tena.. ila roho imeniuma kumkosesha amani mpenzi wangu kwa makosa yangu mwenyewe... na istoshe tunadate tu
Screenshot_20220216-064738.jpg
 
kanisamehe huku analia maana aliniambia nkimpiga ananiacha ila kanisamehe dah imeniuma na ndo mtu ananisaidia imeniuma sana kumpa stress
Anakusaidiaje? Wanawake huwa wapo tricky! Atakuwa amekusamehe ila love wont ever be the same bruh!
 
Kwa kifupi kabisa we ni mshamba, wavulana ndio hupiga wanawake, sisi wanaume hatufanyi huo upumbavu alaf unampiga wakati ulikua unachepuka, mpuuzi, mjinga kua uachane na mambo ya enzi za Ujima, tupo huru lkn akili yako iko enzi za mkoloni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom