Nimempiga mimba mke wa mtu

Watu wengine bana utadhani hawatumii akili, huyu naye... ebu fikiria angekuwa ni mke wako ndo kafanyiwa hivyo wewe ungejisikiaj? Watu wengi wanafikiri baada ya kutenda omg, unajua kbs unafanya kosa then unakuja kuomba ushauri, nyambafu wewe.
Daaaah mshikaji anamahasira, mambo mengine yanatokea katika mazingira flani hivi ya utata. so hilo liache kwanza tu sovu ishu..
 
Hapo penye red huwa mnarefer kitu gani? mbona kila anayekuja
analeta story ya msichana /mwanamke mzuri sana
mnataka kutuaminisha wanaotembea nje ya ndoa zao ni
wanawake wazuri tu! Mbona hakuna anayeleta ushuhuda wa
mwanamke mbaya?
Hizi swaga za kovaa huku MMU naona zimeanza kuzidi.
 
Kapime ukimwi urudi hapa baada ya miezi mitatu kutusimulia kisa hiki
 
Asa hata kama mbaya kwako kwangu mzuri, ndo maana kila mtua anasifia chake kitu..
 
Mleta Mada wewe unatakiwa usiwepo duniani ni hasara kwa taifa mtu kama wewe huna elimu
 
Too late, lkn vpi ana watoto wangapi?, je alikuwa anakuachia wewe tu, ni kwa mda gani au mara ya mwisho kampa mmewe?, hesabu siku, lkn kama mimba yake ya pekee hiyo, yaani hana mtoto mwingine basi unalo.
 
Mleta Mada wewe unatakiwa usiwepo duniani ni hasara kwa taifa mtu kama wewe huna elimu
kwa kauli hii ni dhahiri shule yangu hugusi, na nimekuacha mbali sana. Pili huwezi kuwa na mke wewe, na demu wako naweza kumchukua pia..
 
Hata mkeo nae analiwa na hao watoto wa mkeo sio wako
 
We jamaa shida kweli kweli.........mimba ya mke wa mtu sio ya kwako...Full stop..hata kama ulichepuka naye
 
kwa kauli hii ni dhahiri shule yangu hugusi, na nimekuacha mbali sana. Pili huwezi kuwa na mke wewe, na demu wako naweza kumchukua pia..

Na Umexema unataka kumrudia mungu?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Badilishaneni mpe mkeo na ww mchukue huyo mchepuko mambo yaishe kwanza wote mmechokana
 
mwisho wa siku atalaumiwa shetani huyu shetani ni lakini kuna wakati anaonewa
 
We jamaa shida kweli kweli.........mimba ya mke wa mtu sio ya kwako...Full stop..hata kama ulichepuka naye

Tatizo manzi anakomaa mzigo wangu na si kwamba ana njaa ya hela..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…