Huwezi kutubu wakati mambo yashaharibika. Hapo ni mke wa jamaa pekee ndiyo anaweza kukutunzia siri, kwa kuaminisha kwa mume wake kwamba kitanda hakizai haramu. Ila kama mambo yakienda vibaya sana huna budi kumruhusu jamaa nae amtie mimba mke wako, ili uone utamu wake.
ungekuja kuomba ushaur kabla hamjafikia uamuaz wa kuzini nafikiri hapa pangekuwa mahali sahihi kurud kuomba ushaur tena! lkn kwa kuwa mlikubaliana mkiwa wawili tu na mjitahid pia kulinywa hili mlilolikoroga kwa ushirikiano uleule mliokuwa mnauonesha mlipokuwa mnazini. Nawatakia maamuz mema..........
Hapo kwenye kumpiga mimba mke wangu ndo pagumu aisee
Fanya booking ya arv mapema
Ni kheri ukae kimya utunze ndoa yako, hata hivyo kama yuko kwenye ndoa matoto/watoto watakaozaliwa ni wa mume wake. Binamu yangu alikuwa na soo kama hilo la kwako tena mama alizaa mapacha, mpaka kesho roho inamuuma lakini watoto ni wa mume mwenye ndoa. Alichofanya ni kujenga urafiki na familia na kuna siku anaomba mapacha akawafanyie shopping ya shule lakini hathubutu kufungua mdomo kwa mengine.
kwa huu mwandiko nimeshakufahamuWakuu mambo vipi,
Juzi kati nikimtokea na msichana mmoja mzuri. Katika hapa na pale akanikubalia mchezo bila ajizi. Kumbe walikuwa na mgogoro wa kiaina na mme wake.
Mzee nikawa napiga kazi za nje bila waifu wangu kujua. Mambo yakawa matamu mpaka anamtoroka mme wake anakuja napiga mzigo kisha anarudi kulala home kwake.
Sasa juzi kaniambia mzee haoni siku zake. Nina mashaka kama mimba ni yangu au ya jamaa yàke. Pia sitaki mke wangu ajue maana itakuwa shida sana na jamaa yàke akijua lazima waifu wangu atajulishwa.
Nipo njia panda nimekoma kula vya watu. Nataka kumrudia Mungu nimekosa sana.
Ushauri wakuu
kwa huu mwandiko nimeshakufahamu
Basi baby yaishee...Umefanya yote aujarizika sasa umeamua kuja kujisifia uku
Aya basi hongera!
kwa huu mwandiko nimeshakufahamu