Nimempiga mimba mke wa mtu

Jiandae na wew kupigwa mimba usisahau kurudisha feedback!
 
Watu wengine mnaharibu jinsia yetu, jinsia ya mtu wa kwanza Adam (kwa imani ya dini kuu za wa Tz). Kidume hakiwezi kuja kuomba ushauri hapa kwa ishu ndogo kama hiyo. Watu tushapiga mimba mtoto wa askofu, rpc miaka hiyo tena akiwa under age na maisha yakaendelea seuze mke wa mtu.
Nina was was na huo "udume wako"
 
Umefanya yote aujarizika sasa umeamua kuja kujisifia uku
Aya basi hongera!
 

Kudadeki kamanda uko vizuri
 

Mkuu si unajua mpaka ukikosa ndo majuto yanakufumbua macho
 
Vipi kama mkeo alikuwa kama huyo Uliempiga mimba?Ungempa ushauri gani mke?


Ukiwa na jibu basi subiri zamu yako..
 

Naona unampatia maujanja. mwanamume au mwanamke aliyetembea na mke au mume wa mwenziwe ni wa kulaaniwa tu.
 
kidume gani wewe mwenye mashaka kibao. wewe kijidume tuu!!
 
Subiri mkeo nae aje ajazwe mkong'oto jazz band. Itakua poa sana ama nini.... ----- wewe!!!
 
Kidume

Mbona huku tuomba ushauri wakati mnafanya upuuzi wenu......Hivyo usivyotaka kujua hata mkeo hataki kujua kuwa nae wanaipigia wenzako na kama mna watoto pia mkeo hataki ujue kama sio wako. hivyo endelea na ujinga wako
 
Last edited by a moderator:
Kwani juzi kati ndio siku, wiki, miez au miaka mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…