Nimempiga mimba mke wa mtu

Nimempiga mimba mke wa mtu

Kidume

Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
78
Reaction score
14
Wakuu mambo vipi,

Juzi kati nikimtokea na msichana mmoja mzuri. Katika hapa na pale akanikubalia mchezo bila ajizi. Kumbe walikuwa na mgogoro wa kiaina na mme wake.

Mzee nikawa napiga kazi za nje bila waifu wangu kujua. Mambo yakawa matamu mpaka anamtoroka mme wake anakuja napiga mzigo kisha anarudi kulala home kwake.

Sasa juzi kaniambia mzee haoni siku zake. Nina mashaka kama mimba ni yangu au ya jamaa yàke. Pia sitaki mke wangu ajue maana itakuwa shida sana na jamaa yàke akijua lazima waifu wangu atajulishwa.

Nipo njia panda nimekoma kula vya watu. Nataka kumrudia Mungu nimekosa sana.

Ushauri wakuu
 
Huyu Mungu kwa nini hamumrudiagi mkipata mishahara na ujira??! You consciously went on kuzini na kufanya uzinzi, akakuacha kwa utashi wako (kindani moyoni ulijua fika ufanyacho sio sahihi), mmelikoroga na huyo mwenzako sasa mlinywe.

Actually ukiwa mwizi sharti ujue namna ya kutopatikana na ushahidi wa kutosha (elimination of plausible evidence), sasa wewe hujaacha manyoya tu bali hadi mifupa umeweka mfukoni.
 
Ni kheri ukae kimya utunze ndoa yako, hata hivyo kama yuko kwenye ndoa matoto/watoto watakaozaliwa ni wa mume wake. Binamu yangu alikuwa na soo kama hilo la kwako tena mama alizaa mapacha,

mpaka kesho roho inamuuma lakini watoto ni wa mume mwenye ndoa. Alichofanya ni kujenga urafiki na familia na kuna siku anaomba mapacha akawafanyie shopping ya shule lakini hathubutu kufungua mdomo kwa mengine.
 
Kidume

Nenda kwa mhubiri yeyote aliye karibu na wewe ukamuungamie Yehova dhambi yako ya uzinzi au huo ufisadi uioufanya mbele ya mtumishi wa Mungu na waumini kama mashahidi na kisha utoe zaka inatakayokuumiza moyo isiyopungua (angalau) Tsh. 25,000,000/-
 
Last edited by a moderator:
Kidume

Story ilivyoanza na ulivyomalizia ni kama bongo movie.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaahaa jf humu bhanaaa sasa we nae imekatikia wiki tatu zote huoni tofauti mwilini mwakoo.??? Embu inama ujichungulie huko chini kama ipo nzima haina kasoro yoyote basi kakudanganya huyooo haijakatikiamoooo
 
Kidume

Hujasema chochote kuhusu ngoma; au mimba ilitinga na ndomu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom