Nimempenda teller wa benki fulani

Nimempenda teller wa benki fulani

Hii misemo inanikera sijui kwa nini lakini mimi ni miongoni mwa watu wanaokereka na hii misemo na mingine ya namna hii, HH sasa "hakiri " ni nini
😂😂Subili basi hiri swara riishe
 
Tatizo la hii simulizi lipo hapa ''ku-withdraw pesa nyingi sana''

Inafanya wasomaji wahisi unajimbwafai

Inafanya wasomaji waone unajitangaza kuwa una pesa nyingi sana

Inafanya kumfanya dada wa benki kuwa amevutika na pesa zako nyingi sana.

Hakukuwa na umuhimu wa hii ''ku-withdraw pesa nyingi sana''
 
Nliingia bank flan hapa Mwanza nlienda ku-withdraw pesa nyingi sana kwenye account yangu, Teller baada ya kuona kiwango cha pesa nnachotaka kutoa na umri wangu alishang’aa sana then akaanza maswali ya kizushi ‘ mara una miaka mingap mara unaishi wapi umeoa? unafanya biashara gani, majibu yote nliyomjibu nlimdanganya.

Alifanya kazi yake iliyompeleka Bank then mwisho akanipa namba yake bira kumuomba then akasema “make sure unanicheck online plz” nkakubari then nkachukua mzigo nikaondoka, Baada ya siku 5 nikamcheck alifrahi sana.

Aliniomba tuwe marafiki tuwe tunatoka ote kwenda viwanja kunywa na kula BBQ ,kila kitu kilienda vizuri, kadri siku zilivozidi kwenda yule mdada alikua akionyesha kunipenda sana japo mim nlkua sijionyeshi kuwa nina pesa lakn yeye alkua anakuja mzima mzima, tukitoka analipia bills zote na usafiri,.

Dhumuni la uzi huu ni kwamba kadri sku zinavozidi kwenda naanza kumpenda kwel kwel, mpaka nafikia hatua nahisi kama amefanya sayansi fran ili kuniteka hakiri yangu, najikuta namfikilia yeye tu muda wote.

Juzi nimemtokea nmemuelezea hisia zangu kwake akawa kama hanielewi, nkikausha nisipomtafta yeye ndo wa Kwanza kunitafta kila siku.

Naombeni ushauri, nikate tamaa kutongoza ama niendelee kupambana mpaka nimpate ama ndo hanipendi ananichezea hakili tu?
Story inafanania na yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom