Kwamba Bilionea hana usafiri private. Huyu mleta mada aache mirungi soon ataanza kutembea uchi barabarani akijua yupo chumbani......😎
acha nikaushe ivi ivi!!!
FixNliingia bank flan hapa Mwanza nlienda ku-withdraw pesa nyingi sana kwenye account yangu, Teller baada ya kuona kiwango cha pesa nnachotaka kutoa na umri wangu alishang’aa sana then akaanza maswali ya kizushi ‘ mara una miaka mingap mara unaishi wapi umeoa? unafanya biashara gani, majibu yote nliyomjibu nlimdanganya.
Alifanya kazi yake iliyompeleka Bank then mwisho akanipa namba yake bira kumuomba then akasema “make sure unanicheck online plz” nkakubari then nkachukua mzigo nikaondoka, Baada ya siku 5 nikamcheck alifrahi sana.
Aliniomba tuwe marafiki tuwe tunatoka ote kwenda viwanja kunywa na kula BBQ,kila kitu kilienda vizuri, kadri siku zilivozidi kwenda yule mdada alikua akionyesha kunipenda sana japo mim nlkua sijionyeshi kuwa nina pesa lakn yeye alkua anakuja mzima mzima, tukitoka analipia bills zote na usafiri,.
Dhumuni la uzi huu ni kwamba kadri sku zinavozidi kwenda naanza kumpenda kwel kwel, mpaka nafikia hatua nahisi kama amefanya sayansi fran ili kuniteka hakiri yangu, najikuta namfikilia yeye tu muda wote.
Juzi nimemtokea nmemuelezea hisia zangu kwake akawa kama hanielewi, nkikausha nisipomtafta yeye ndo wa Kwanza kunitafta kila siku.
Naombeni ushauri, nikate tamaa kutongoza ama niendelee kupambana mpaka nimpate ama ndo hanipendi ananichezea hakili tu?
Baadae unamkuta kwenye jukwaa la ajira na tenda anaomba kazi yoyote ile halaliNiliachaga kuingia bank siku nyingi sana baada ya kuona nawasumbuwa foleni watu wenye pesa zao, siku hizi namalizana na wakala tu, labda in case unataka kudiposeti pesa nyingi ndio naingia bank.
In short huwezi kumchanganya bank teller ambaye kila siku watu wanafanya miamala ya nguvu anaachiwa laki moja ya lunch.
Huyo Dogo hayajui mambo ya bank kaamuwa tu kuja kuwapanga, unaweza kukuta hapo bundle analotumia ni la Tigo niwezeshe
Wewe ndio huyo mdada wa bank nin?Tariq bana..![]()

Kuna mwamba yupo machimboni Namungo huku,hajui kuandika,anajua hesabu tu ila ana mpunga wa maana tu na ana drive ndinga kali tuTukiacha criticism hivi story kama hii haiwezekani kuwa kweli?
Tunasafari refu kama vijana,ukweli wa mtu anao mwenywe,sisi
tujibu swali,tushauri alichoomba Mengine atajua na Mungu wake
Acheni wazee kuna raia wana hela na hawawezi andika,achana na
hawa wachanganya R na L kuna wajomba hata andika hawawezi,ila n wamoto.
Hao hela yao ya uchawiWatu was humu,huwa nawadharau Sana wanaweza kumkejeli mleta mada,hawajui kahama Kuna jama hawajui kuvaa Wala kuchana nywele ila Wana usafiri wa gharama.
Stupid

🤣🤣🤣🤣👋👋👋Wewe ndio huyo mdada wa bank nin?![]()
dah! ama kweli...Nliingia bank flan hapa Mwanza nlienda ku-withdraw pesa nyingi sana kwenye account yangu, Teller baada ya kuona kiwango cha pesa nnachotaka kutoa na umri wangu alishang’aa sana then akaanza maswali ya kizushi ‘ mara una miaka mingap mara unaishi wapi umeoa? unafanya biashara gani, majibu yote nliyomjibu nlimdanganya.
Alifanya kazi yake iliyompeleka Bank then mwisho akanipa namba yake bira kumuomba then akasema “make sure unanicheck online plz” nkakubari then nkachukua mzigo nikaondoka, Baada ya siku 5 nikamcheck alifrahi sana.
Aliniomba tuwe marafiki tuwe tunatoka ote kwenda viwanja kunywa na kula BBQ,kila kitu kilienda vizuri, kadri siku zilivozidi kwenda yule mdada alikua akionyesha kunipenda sana japo mim nlkua sijionyeshi kuwa nina pesa lakn yeye alkua anakuja mzima mzima, tukitoka analipia bills zote na usafiri,.
Dhumuni la uzi huu ni kwamba kadri sku zinavozidi kwenda naanza kumpenda kwel kwel, mpaka nafikia hatua nahisi kama amefanya sayansi fran ili kuniteka hakiri yangu, najikuta namfikilia yeye tu muda wote.
Juzi nimemtokea nmemuelezea hisia zangu kwake akawa kama hanielewi, nkikausha nisipomtafta yeye ndo wa Kwanza kunitafta kila siku.
Naombeni ushauri, nikate tamaa kutongoza ama niendelee kupambana mpaka nimpate ama ndo hanipendi ananichezea hakili tu?
UTOTO RAHA SANA. UNAWEZA KAA HAPO KWA SHEMEJI YAKO UMEWEKA MIGUU KWENYE STULI UNACHEZEA MAPUMBU HUKU UKI CHECK TAMTHILIA ZA AZAM UNAANZA KU IMAGINE MAMBO UNAPOST JF. NGOJA DADAYO AACHIKE SASA.Nliingia bank flan hapa Mwanza nlienda ku-withdraw pesa nyingi sana kwenye account yangu, Teller baada ya kuona kiwango cha pesa nnachotaka kutoa na umri wangu alishang’aa sana then akaanza maswali ya kizushi ‘ mara una miaka mingap mara unaishi wapi umeoa? unafanya biashara gani, majibu yote nliyomjibu nlimdanganya.
Alifanya kazi yake iliyompeleka Bank then mwisho akanipa namba yake bira kumuomba then akasema “make sure unanicheck online plz” nkakubari then nkachukua mzigo nikaondoka, Baada ya siku 5 nikamcheck alifrahi sana.
Aliniomba tuwe marafiki tuwe tunatoka ote kwenda viwanja kunywa na kula BBQ,kila kitu kilienda vizuri, kadri siku zilivozidi kwenda yule mdada alikua akionyesha kunipenda sana japo mim nlkua sijionyeshi kuwa nina pesa lakn yeye alkua anakuja mzima mzima, tukitoka analipia bills zote na usafiri,.
Dhumuni la uzi huu ni kwamba kadri sku zinavozidi kwenda naanza kumpenda kwel kwel, mpaka nafikia hatua nahisi kama amefanya sayansi fran ili kuniteka hakiri yangu, najikuta namfikilia yeye tu muda wote.
Juzi nimemtokea nmemuelezea hisia zangu kwake akawa kama hanielewi, nkikausha nisipomtafta yeye ndo wa Kwanza kunitafta kila siku.
Naombeni ushauri, nikate tamaa kutongoza ama niendelee kupambana mpaka nimpate ama ndo hanipendi ananichezea hakili tu?
Akili.Hangaika kwenye kutafta tiba ya magonjwa ya akiri
We ulishakubali kuwa rafiki yake. Ulishamkubalia hilo utapata shida kumfanya awe mpenzi.Nliingia bank flan hapa Mwanza nlienda ku-withdraw pesa nyingi sana kwenye account yangu, Teller baada ya kuona kiwango cha pesa nnachotaka kutoa na umri wangu alishang’aa sana then akaanza maswali ya kizushi ‘ mara una miaka mingap mara unaishi wapi umeoa? unafanya biashara gani, majibu yote nliyomjibu nlimdanganya.
Alifanya kazi yake iliyompeleka Bank then mwisho akanipa namba yake bira kumuomba then akasema “make sure unanicheck online plz” nkakubari then nkachukua mzigo nikaondoka, Baada ya siku 5 nikamcheck alifrahi sana.
Aliniomba tuwe marafiki tuwe tunatoka ote kwenda viwanja kunywa na kula BBQ,kila kitu kilienda vizuri, kadri siku zilivozidi kwenda yule mdada alikua akionyesha kunipenda sana japo mim nlkua sijionyeshi kuwa nina pesa lakn yeye alkua anakuja mzima mzima, tukitoka analipia bills zote na usafiri,.
Dhumuni la uzi huu ni kwamba kadri sku zinavozidi kwenda naanza kumpenda kwel kwel, mpaka nafikia hatua nahisi kama amefanya sayansi fran ili kuniteka hakiri yangu, najikuta namfikilia yeye tu muda wote.
Juzi nimemtokea nmemuelezea hisia zangu kwake akawa kama hanielewi, nkikausha nisipomtafta yeye ndo wa Kwanza kunitafta kila siku.
Naombeni ushauri, nikate tamaa kutongoza ama niendelee kupambana mpaka nimpate ama ndo hanipendi ananichezea hakili tu?
UTOTO RAHA SANA. UNAWEZA KAA HAPO KWA SHEMEJI YAKO UMEWEKA MIGUU KWENYE STULI UNACHEZEA MAPUMBU HUKU UKI CHECK TAMTHILIA ZA AZAM UNAANZA KU IMAGINE MAMBO UNAPOST JF. NGOJA DADAYO AACHIKE SASA.
CHAINliingia bank flan hapa Mwanza nlienda ku-withdraw pesa nyingi sana kwenye account yangu, Teller baada ya kuona kiwango cha pesa nnachotaka kutoa na umri wangu alishang’aa sana then akaanza maswali ya kizushi ‘ mara una miaka mingap mara unaishi wapi umeoa? unafanya biashara gani, majibu yote nliyomjibu nlimdanganya.