Nimempenda sanaa ila ndo basi tena

Nimempenda sanaa ila ndo basi tena

Wanajamvi mko salama naamini wote nyie ni wazma wa afyaa.

Nieende moja kwa moja kwenye mada husikaa ndugu zangu mm nilikuaa na mpenzi wangu wa kike ambae anasoma ktk chuo flani apa mjini sasa jion ya leo nimepokeaa ujumbe mfupi wa maneno kutoka kwa mama yake kuwa nimwache msichana wake asome mana inaonesha namchanganya.
Sasa ttzo ni kwamba mm huyu binti namkubali sana na nilipanga kabisa ikiwezekana nije kumvuta ndani ila sasa mama ake ndo ivo kanipiga stop nikae mbal na binti yake.
Naombeni ushauri mana binti bado nampenda sanaa na sikua na mpango wa kumwacha.
[emoji121]
WEKA PICHA,
KISHA NI_PM NAMBA YA SIMU YA HUYO BINTI NIKUSHAURI VEMA KABISA
ILI TULIMALIZE TATIZO.
 
Mbona hamna baya hapo!!

Huyo mama mbona yuko vizuri tu!

.Ila sina hakika km kweli ni mama yake!
 
Wanajamvi mko salama naamini wote nyie ni wazma wa afyaa.

Nieende moja kwa moja kwenye mada husikaa ndugu zangu mm nilikuaa na mpenzi wangu wa kike ambae anasoma ktk chuo flani apa mjini sasa jion ya leo nimepokeaa ujumbe mfupi wa maneno kutoka kwa mama yake kuwa nimwache msichana wake asome mana inaonesha namchanganya.
Sasa ttzo ni kwamba mm huyu binti namkubali sana na nilipanga kabisa ikiwezekana nije kumvuta ndani ila sasa mama ake ndo ivo kanipiga stop nikae mbal na binti yake.
Naombeni ushauri mana binti bado nampenda sanaa na sikua na mpango wa kumwacha.
Ana umri gani??? Wewe una uhakika ana kupenda?? Mama yake amepataje courage ya Ku kutumia Ujumbe mfupi???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom