Nimempenda Msichana wakati nimeshaoa.

Mfanye mke wa pili uwe unajilia kihalali kuliko sasa unavyo jificha ficha
 
tukusaidie nini?
Subiri mkeo apate kiserengeti boy ndo utaweza kurudisha mapenzi kwake
 
Wee ni dini gani? Maana nasikia kuna dini inaruhusu Mwanamume kuoa zaidi ya mwanamke mmoja lakini ina restrict mwanamke kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja na inafahamika kama ni dini ya haki. Ukishaniambia wewe ni dini gani nitakuwa kwenye position nzuri ya kukushauri.

Islam dini yangu. ila msikiti nimeusahau kwa kitambo sana. Asante woooote mnaoona ni tatizo na kushauri vizuri. nimepata kitu kidogo kwakweli.
 
du kama ndoa zenyewe ndio hizi,ni bora uwe mwenyewe tu
kisukari! Habari za leo. Uko wapi jamani! Nimekumisije.

Hebu sogea pande za huku tutete. Nakuhakikishia hutajuta kuteta nani faraghani.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Kaka we endelea yalishanikuta hayo, kwa ambao hayajawakuta watasema mengi sana. Sisi ni binadamu bwana tukipigana na ukuta tunaumia. Ila usimsahau mamsap home na hilo la kukosa naye hamu solution ni kwamba punguza dozi kule nje
 
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:


sasa shekh ruksa mpaka wa 4 .... kama unadhani una uwezo wa kumhudumia.. kila kitu... mpe taarifa mkeo alafu oa kuliko kufanya uzinzi

 
Na yeye atakuwa anampenda kijana mmoja mtaa wa pili...so ngoma draw

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
Ni kungonoka tu huna lolote. Na umejitune hivyo wewe mwenyewe. Na akija wa tatu utalipuka zaidi. Acha uzinzi kijana, nyumba ya kupanga utawekaje granite wewe. Tambaa fasta
 
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi ya kumwacha huyu dada.... Kila nikijaribu kumwacha nashindwa, akinitext tu nakuomba tutoke naingia line. .. Hata leo anataka nikampe dozi... JJamani nisaidieni!:eyebrows::eyebrows:
@Shekhe Gorogosi oa mke wa pili kiishe kama uko kwenye hiyo imani
 
Islam dini yangu. ila msikiti nimeusahau kwa kitambo sana. Asante woooote mnaoona ni tatizo na kushauri vizuri. nimepata kitu kidogo kwakweli.

Kumbe unaakili kidogo ni kiasi cha kubusti tu.Sasa umepata ushauri gani ,kuoa ,kuendelea au kupiga chini wote!
 
Mie mwanaume hasa akisema mambo kama hayo ananichefua roho yangu!! kama uwezo unaruhusu na dini inaruhusu sasa unaiba nini au ushazowea vyakunyoga wewe vyakuchinja huviwezi? inaonyesha bwana weye uzinzi unauendekeza lakini kumbuka kua ulie muoa nae pia ni mtoto wawatu A .K. A. Mkeo jee akifanyiwa mwanao wakike hayo unayo yafanya wewe utapendelea?
 
Au hamjui kuwa, mwili hupigana na kushindana na roho, navyo viwili haviwezi vikapatana.
Kila dhambi aifanyayo mtu ni nje ya mwili wake, bali dhambi ya uzinzi ni ndani ya mwili wake.
Ikimbieni zinaa.
Tamaa ikishakomaa huzaa dhambi, na dhambi ikishakomaa huzaa mauti.
Kwa sasa tamaa yako juu ya huyo msichana imeshazaa dhambi ya uzinzi, imebaki tu hiyo mimba uliyonayo(uzinzi) ukomae ili uzae mauti ya milele.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Tatizo mnawahi sana kuoa,cjui mnakimbiliaga nn?yaan ukishapata kazi ukachonga visofa vyako na kununua kamusic system baaaaasi ni kuoa tu,tulia sasa acha wengi,wasio na ndoa wajilie vyao
 
HAYA NDO MATATIZO YA KUCHAGULIWA MKE NA BABA!!!! POLE SANA, HII HAINA TIBA....... UNGEJICHAGULIA MWENYEWE USINGEMCHOKA!!!!!:A S-eek:
 
kamwe hauwezi kupenda wawili mkuu nakushauri mpende mkeo kwani miaka 3 kwenye ndoa ni safari ndefu
 
wewe ni bonge la fataki,huyo dada hujampenda ila umemtamani.acha uzinzi,yule dada nae anawake anayempenda,utakutanishwa nae kwenye mtandao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom