Nimempenda msichana FaceBook

Nimempenda msichana FaceBook

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
salaam wakuu
kuna dada nimempenda kule fecebook na nilikuwa napitia pitia kwenye sehemu ya " find friends "mara mtoto huyu hapa,nikamwandika private message akajibu,nikaomba urafiki akajibu sasa ni kama week tuna chats ila ni mzuri sana.
ila sasa yupo mbali na nilipo nifanyeje?
 
Mbali ni wapi? Tuambie kwanza then tukuandalie mpango kazi.
 
Back
Top Bottom