Nimempenda kijana mmoja wa Kihaya

Nimempenda kijana mmoja wa Kihaya

Dotnat

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
5
Reaction score
7
Habari; Mwenzenu nimetokea kumpenda kijana mmoja wa Kihaya, nilikutana naye katika mazingira ya kazi yangu (kazi yangu inahusiana na kutoa huduma kwa jamii), kwhy katika mazingira ya hyo kazi nilibahatika kumhudumia na huyo kaka, kwakweli nimetokea kumpenda sana tena sana, kwa bahati nzuri aliniandikia namba zake za simu, so najkuta kila muda natamani kuwasiliana naye, hivyo nahisi atanichoka, so ushauri unahitajika je nimwambie kuwa nampenda? what if akisema ana mtu mwingine? atanichukuliaje? maana n vigumu sana kwa mdada kumtongoza mkaka, nahisi pia nikifanya hivyo ataniona mm ni kicheche. I love him a lot, ushauri wako unahitajika, je nimweleze yaliyoko moyoni mwangu? au nifanyeje? wadada na wakaka naomba mnisaidie kunipa mbinu zitakazonisaidia kumpata huyo kijana nimpendae.
 
hahahaaaaaaaaaa wera wera but sijaona sababu why uandike kabila lake! kwani ungeweza sema tu kwamba umempenda kijana fulani. sasa why useme eti wa kihaya?
 
hahahaaaaaaaaaa wera wera but sijaona sababu why uandike kabila lake! kwani ungeweza sema tu kwamba umempenda kijana fulani. sasa why useme eti wa kihaya?
Labda kampendea katerero, si unajua zile sifa za wahaya na katerero zinazungumzwa sana humu....
Kila la kheri dada ujiandae tu kujua mapishi ya Senene na Matoke, bila kusahau chile chinywaji cha RUBISI
 
labda kampendea katerero, si unajua zile sifa za wahaya na katerero zinazungumzwa sana humu....
Kila la kheri dada ujiandae tu kujua mapishi ya senene na matoke, bila kusahau chile chinywaji cha rubisi


umenigusa maana hata mie nawazikimikiaje hao jamaa, yaani we acha tu.
 
Penye nia njia ipo, hata hivyo huwezi kukata tamaa wakati hujajaribu.hata usipofanikisha lakini kuna kitu utajifunza.
 
isikute tu ni KakaKiiza nitauwa mtu walahi
 
Last edited by a moderator:
unaonekana upweke unakusumbua na hiki kibaridi
pole sana wangu
mi sikushauri ujipendekeze wala kumwambia unampenda
 
Funguka tu Dada,si ajabu hata yeye moyo wake umekudondokea!
 
Fanya homework kwanza ili ujue relationship status yake kabla ya kujilipua. Tumia watu kupata taarifa zake.
Kama unawasiliana naye daily, jaribu kuuchuna kwa siku 2 hivi uone kama atakumiss.
Baadaye utajua nini chakufanya lkn usijilipue huwezi jua kama ni old fashioned au vipi.
 
kuna post @lara1 aliwahi kuandika maneno "In God we Trust,In Humans we investigate further"
kabla hujamwambia yaliyo moyoni,jaribu kuchungza zaidi kwanza.usije kuumia moyo badae
 
Sasa kama ulinihudumia ukanipenda ndo uje unitangaze humu?
Sasa hata simu zako sipokei tena kumbe ndo lengo lako..............!
 
Fungukaaaa!!!! ila ujiandae kupata maumivu ya moyo. Kila la heri.

 
Last edited by a moderator:
Soma hii article itakusaidia...

3 Ways to Show a Guy That You Like Him - wikiHow

Otherwise,


Girl%7C27s-logic%7C3A-When-you-like-a-guy%7C2C-do-nothing-about-it-and-expect-him-to-magically-know-and-make-the-first-move.-status.jpg
 
kuna post @lara1 aliwahi kuandika maneno "In God we Trust,In Humans we investigate further"
kabla hujamwambia yaliyo moyoni,jaribu kuchungza zaidi kwanza.usije kuumia moyo badae

Si unajua tena ukimchunguza sana bhatha/khukhu utashindwa kumla ingawa ni mtamu .......................!
 
hahahaaaaaaaaaa wera wera but sijaona sababu why uandike kabila lake! kwani ungeweza sema tu kwamba umempenda kijana fulani. sasa why useme eti wa kihaya?
HUO NI UZITO KAWEKA MAANA ANAJUA KAZIMIKA KWA MUHAYA!!TABU IKO WAPI KWAKUMUTUKUZA!!

Labda kampendea katerero, si unajua zile sifa za wahaya na katerero zinazungumzwa sana humu....
Kila la kheri dada ujiandae tu kujua mapishi ya Senene na Matoke, bila kusahau chile chinywaji cha RUBISI
Sifa ya mhaya ni katelelo!!nayeye kampenda kwakujua ni mhaya nakwakujua huko ataipata vyovyote vile!!

umenigusa maana hata mie nawazikimikiaje hao jamaa, yaani we acha tu.
Bora umejisemea ila kama akikataa ukuje kwa huku I will do the same one!!

isikute tu ni KakaKiiza nitauwa mtu walahi
Hofu wa ondoa mpenzi mimi niwako mahabuba!

unaonekana upweke unakusumbua na hiki kibaridi
pole sana wangu
mi sikushauri ujipendekeze wala kumwambia unampenda
Usimkatishe mwenziyo tamaa kwani akimwambia tatizo liko wapi mwaego nenda muite mwambie nakupenda usikie anasemaje siku nyingine mwambie tutoke!

Fanya homework kwanza ili ujue relationship status yake kabla ya kujilipua. Tumia watu kupata taarifa zake.
Kama unawasiliana naye daily, jaribu kuuchuna kwa siku 2 hivi uone kama atakumiss.
Baadaye utajua nini chakufanya lkn usijilipue huwezi jua kama ni old fashioned au vipi.
Kwa dunia ya sasa lazima atakutana na mtu ambaye yupo kwenye mahusiano hivyo atumie mikakati kazi!
 
Mradi asiwe Bishanga wangu tu
Bepari ha kihaya afrika mashariki na kati
Linapaka pafyumu yenye bei sawa na Prado

halafu wee hyo avatar yako kila nikiiona kaka. anasimama. itoe asee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom