Nimempenda jirani yangu, nifanyeje?

Nimempenda jirani yangu, nifanyeje?

Umesha loose mentally mkuu, acha a naa hiyo pisi. She's probably dating wenye uwezo zaidi yako
 
Wadau Kuna pisi moja Kali sana aisee demu mzuri kinoma tunaishi nae nyumba moja ya kupanga apa DSM yeye anafanya kazi dukani kariakoo ni mzuri kinoma sina maeozea nae sana zaidi ya salama ila nimempenda awe mpenzi wangu mbaya zaidi Mimi nimeacha kutongoza mda mrefu maana mademu siku hizi wanalings sana ukimtongoza unaweza jibiwa mbovu ikawa aibu ila Wadau nitumie mbinu gani kuipata hii pisi

Wadau kila nikionana nae mtoto mzuri aisee nafurahi sana, mbaya zaidi Mimi ni kiongozi wa umeme niliendaga kuomba Hela ya umeme ndio uwa tunaongea sana ila sina mazoea nae sana kivile, Wadau vipi niweke pesa huduma hau nitumie mbinu gani awe mama watoto wangu
Kwanini usiende kupiga ramli?
 
 
Eeh mama watoto tena!!! Sasa hapa ndo nagundua kuwa wanawake wa sasa jau ila wanaume wa sasa wengi mafua yapo kichwani.
 
Back
Top Bottom