shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,794
- 13,474
Si ndio!Na mwanaume wa kweli haogopi kutuma maombi.
Si ndio!Na mwanaume wa kweli haogopi kutuma maombi.
mpigie nyeto tu, utanishukuru badaeWadau Kuna pisi moja Kali sana aisee demu mzuri kinoma tunaishi nae nyumba moja ya kupanga apa DSM yeye anafanya kazi dukani kariakoo ni mzuri kinoma sina maeozea nae sana zaidi ya salama ila nimempenda awe mpenzi wangu mbaya zaidi Mimi nimeacha kutongoza mda mrefu maana mademu siku hizi wanalings sana ukimtongoza unaweza jibiwa mbovu ikawa aibu ila Wadau nitumie mbinu gani kuipata hii pisi
Wadau kila nikionana nae mtoto mzuri aisee nafurahi sana, mbaya zaidi Mimi ni kiongozi wa umeme niliendaga kuomba Hela ya umeme ndio uwa tunaongea sana ila sina mazoea nae sana kivile, Wadau vipi niweke pesa huduma hau nitumie mbinu gani awe mama watoto wangu
Out ya nini wakati wanakaa nyumba moja? Abake tuSiku hizi hamtongozani bila simu?
Vaa ujasiri kijana.
Mwambie "jirani lini tunatoka out?"
Na adumini wa grupu la wapangaji wenzako ?Mimi ni kiongozi wa umeme
Hiyo kuomba out ni kutafuta kuanzisha mazungumzo ya mchakato wa kuombana 'punani'.Out ya nini wakati wanakaa nyumba moja? Abake tu
Mlipie pesa ya umeme one day alafu chukua namba yake ,maliza kaziWadau Kuna pisi moja Kali sana aisee demu mzuri kinoma tunaishi nae nyumba moja ya kupanga apa DSM yeye anafanya kazi dukani kariakoo ni mzuri kinoma sina maeozea nae sana zaidi ya salama ila nimempenda awe mpenzi wangu mbaya zaidi Mimi nimeacha kutongoza mda mrefu maana mademu siku hizi wanalings sana ukimtongoza unaweza jibiwa mbovu ikawa aibu ila Wadau nitumie mbinu gani kuipata hii pisi