Nimempenda huyu binti msaada

Nimempenda huyu binti msaada

ha ha ha ha..., kama akiweza kuvunja hizo tiles, jiandae siku mija atakuvunja mgongo..lol
atatulia kama huyu tu..

1002316_10152070856658012_469530115_n.jpg
 
Mtoto huyu fresh toka form iv sio used kiviiiile.

Kiukweli TIQO umependa! Khaa! Broo wanawake wote wa vikosi vya jeshi, police na hata mgambo wanagegedwa kirahis rahis sana, na huwa hivyo kulinda nafasi zao, kupunguziwa kazi na hata kupandishwa vyeo! Embu vuta picha mkuu kwa nini wababa ambao wanafanya kazi za vikosi kama hivyo hukataa watoto wao wa kike kujiunga? Nna experience flan ambayo nimeshuhudia wababa wengi wakihiari watoto wao (w/ke) wakose ajira kabisaaa!
Anyway najua umependa mkuu, nisikuvunje moyo jaribu tu kuingiza mkono kizani, huenda nyota yako inan'gaa vilivyo! KILA LA HERI JEMBE LANGU.
 
we unafuta matatizo, atakukimbiza ndan 6x6
 
We acha nongwa huyo binti aliyekunja ngumi ni mrembo...amenyoa nywele na amepanua mdomo nahisi ana shout
lakini bado anavutia...anawazidi warembo wengi mnaowasifia ambao wengi sio natural kiasi hiki...hicho kitu kimetulia
na huo ndio ukombozi wa dada zetu...Nafikiri Wakurya anawafaa sana huyu ukijaribu kumpiga utapata kichapo mwenyewe
 
Jamani kapangiwa wapi kwani kituo cha kazi?

Kumbe hata huko wapo watoto wazuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom