Nimempenda huyu binti msaada

Nimempenda huyu binti msaada

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,102
E.jpg

Kwa kweli sie wanaume huwa tunaanza kwanza na kutamani kisha tunamalizia na kupenda, huyu binti nimemtamani sana baadae nakuta nashindwa kujizuia nampenda, waungwana naomba mnisaidie kunilink na huyu binti kama kuna uwezekana mawasiliano ya huko CCP Moshi aliko maliza mafunzo niongee na mkuu wa chuo anisaidie ili niweze kutuliza mtima wangu. Nawasilisha...
 
ha ha ha ha..., kama akiweza kuvunja hizo tiles, jiandae siku mija atakuvunja mgongo..lol
 
katika enzi hizi za sayansi na teknolojia sisi tunashindana kwa kuvunja vigae wakati wenzetu wanashindana kwa kuvumbua vitu vya maana.ina maana miezi yote tisa alikuwa anajifunza kuvunja mawe
 
hahahahahahahahah......mi sina hata lakuongea zaid ya kucheka tu.Kila la kheri bro utampata kaza buti.
 
Wa mbele au wa nyuma?.manake naona wote wana sura za vidume
 
E.jpg

Kwa kweli sie wanaume huwa tunaanza kwanza na kutamani kisha tunamalizia na kupenda, huyu binti nimemtamani sana baadae nakuta nashindwa kujizuia nampenda, waungwana naomba mnisaidie kunilink na huyu binti kama kuna uwezekana mawasiliano ya huko CCP Moshi aliko maliza mafunzo niongee na mkuu wa chuo anisaidie ili niweze kutuliza mtima wangu. Nawasilisha...

Duh! Uko tayari ku-share na wakubwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom