Nimempenda House Girl Wangu

Nimempenda House Girl Wangu

Mpilipili

Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
28
Reaction score
12
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.

Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam

Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.
 
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu. Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam
. Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.

Umeshindwa kutoka wapi???
 
Nimeshindwa kuachana nae. Kila nikisema naacha, kisha natamani tena
 
yani wewe sijui nikuweke kwenye kundi gani ? ila heshimu ndoa yako hasa kama unawatoto ndo ushauri wangu mkuu.

jilize huyo dada mkeo akiondoka au hayupo duniani ataweza lea watoto wako?

je ataweza kukulea ?
akiwa housegirl anakupa heshima ya bosi akiwa mpenzi unajua mnakuwa sawa na majibizano yataanza
 
mambo mengine yahitaji moyo wa chuma hata kuyashauri
Unataka usaliti ndoa yako na kutembea na house gal na bado unakuja hapa kutaka tukushauri ili ufanye hilo
Epuka mahusiano hayo na linda mahusiano yako na mkeo maana kuna mawili unaweza kufanya hilo unalotaka kufanya na akanogewa ikawa balaa kuachana nae au ukimtibua tuu ujue taarifa zinafika kwa mkeo
Tized uko wapi hebu njoo huku
 
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu. Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam
. Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.
kwanza, hivi kilichokufanya ukapime naye ni nini....???? We utakuwa ushamgegeda weye...
 
Nisaidieni wana jamvi kabla mambo hayaja haribika. Plan yangu nataka nimrudishe kwao lkn hofu yangu ni kwamba anaweza ku-react ukawa uhasama na pengine hata kumwambia mke wangu. Dhamira yangu ni kuachana nae kabisa hata kwa compansation ili kulinda heshima ya ndoa yangu
 
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.

Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam

Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.

wewe acha hizo,uoni kama ni kutomheshimu wife,peleka genye zako kwingine,unataka kutengeneza historia .
kwani hata watoto wako wakiwawakubwa utawatamani?
 
mtongoze akikubali kwa ridhaa yake mgegede ila akikataa tafadhali endelea kumjali na kumthamini usije jiwekea visa naye. NB akikubali akili kimkichwa maana tayari utakuwa umefungulia mlango wa migogoro ya ndoa yako ambayo madhara yake ni makubwa sana
 
Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu.

Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam

Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.

wewe hujampenda, ila unamtamani tu.
 
Asiyekuwepo na lake ameondoka nalo,huko aliko mkeo anachachuriwa kama kawa,hivyo na wewe chachuwa ulichonacho home inapunguza maumivu %#http://
 
Mmepanga mpaka mnaenda kupima Vvu,kchwan mwako ulikuwa na wazo gan?Timiza wazo lako pga akija mama yoyo majibu yatapatkana ila kuwa makn,ujue ndo heshma inashuka kwa mfanyakaz wako utaanza kuona vitabia vya ajabu ajabu kwako wife akstukia msala!
 
Ndugu zangu nisaidieni, natambua ukubwa na uzito wa kusa nililolifanya
 
Back
Top Bottom