Nimempenda Barmaid

Nimempenda Barmaid

Sasa huyu jamaa yangu kama kuachama ni tatizo ataweza kweli kumfukuza nyoka anayeingia ndani ya nyumba. Mbaya zaid ametupatia location embu ngoja nikajionee bure!
 
Unahudhuria bar whole week unaagiza Malta? What the hell!
 
kuna jamaa mmoja nilimsikia akisema ametokea kumpenda kahaba(muuza papuchi) sijui inafanana na yako? au inawezekana huyo barmaid anafanya hyo kaz kwa sababu ya shida tuu na anajiheshimu,mchunguze kwanza kama unahitaj kumchukua na hata kumtoa hapo.kama anajihusisha na uuzaji wa papuchi au people wanapiga kwa offer tuu,achana naye.lakini pia nakushauri jichunguze umempenda au umemtamani? namaanisha usijiendekeze kupenda ovyoovyo ghafla tuu.
 
Kwanini umemuacha sasa?
Ndio nami nipo njia panda kwani pamoja na kumuacha ndio kazidisha upendo na hekima kwangu. Ok, sababu ya kumuacha ni hii, niliona ni upuuzi kuwa na demu/ mpenzi changudoa, ni heri nibakie ordinary customer, hivyo nimemuacha ili akili yake na yangu iji tune kwa uhusiano wa muuzaji na mteja baasi. Lakini duh naona mtoto bado kaniganda kama mpenzi na hataki nimlipe nikila papuchi yake. Ndio hivyo no more ndugu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom