Nimempelekea pesa ya kodi, kagoma kunipa mzigo. Nimerudi na pesa yangu

Ila anayejitambua ukitanguliza sex pia hatokuelewa mimi binafsi mtu anayetanguliza ngono hatuwezi elewana yaan na shida ya mwandishi alitaka kula kimasihara,sio kila mtu analiwa kimasihara
Ule Uzi umeharibu sana watu acha tu. Pengine alitaka kuja simulia masihara yake kama wengine, ko alikua anajaribu masihara za wengine kama zitafanya kazi kwake.
 
Mleta uzi niambie unaishi wapi? Na hyo demu anaishi wap?nikupe mbinu za kivita.
 
Huyu binti ambaye niliwahi kuleta taarifa yake ya kuninyima mzigo licha ya kulala kwake siku 2.
Wadau walitoa maoni yao nikawaelewa. Nikambana kwanini alifanya vile akasema ni woga tu( nahisi ni bikira).
Nikaendelea naye chatting and so.
Kaniomba nimwongezee pesa alipie chumba nikampa ahadi. Leo jioni/usiku nimempelekea nimemsihi anipe mzigo kaniambia siku nyingine atanipa. Nimetumia nguvu nikaona haelekei mwisho naweza kubaka bure. Nikavaa nguo nimetoka bila kumuaga na pesa sijampa. Kwakweli kanifanyia uhuni sana.
Uishi miaka mingi mfalme....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom