Nashuuru nimempata mtu nilie kua namuitaji
itakuwa kuna mtu kafika dau kubwa pm kapiga mkwara kantangazeee!!!!Duh!
Ama kweli mwendokasi umeshika kasi!
itakuwa kuna mtu kafika dau kubwa pm kapiga mkwara kantangazeee!!!!
Mh mara hii???????? jf noumaaaaa
mbona mimi sipati baby?Zama za mwendokasi hizi...kila kitu mwendokasi tu.
mbona mimi sipati baby?
Tupo wengi sanambona mimi sipati baby?
Hongera sanaNashukuru nimempata mtu nilie kua namuitaji