Duuuh!so swali langu ni kwa malaya wenzangu vipi ilikuwaje kwa aliyewahi kukutana na mkasa wa aina hii?na aliumalizaje
Naaam[emoji4]DeepPond
Sekta yako hii mkuu toa nenoNaaam[emoji4]
Nishafika mkuu[emoji1666]
Umekula hasara. Na bado uadui unakungojaUjinga wangu ni nini hapo,nisaidie nijue nilipokwama..
minara ya mtaro ikikuhusu njoo na reply pia...Wakuu kwema?
Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa, jamaa yake saiv amekuwa mlevi na kiaina ni kama ameikacha familia, so mkewe baada ya kuona jamaa kasahau majukumu yake ya kindoa, ndio akaamua kunicheki, sababu alikuwa mtu wangu na amenona,nikamualika kwangu.
Hee si ikaonekana tunakumbushia ya zamani, mwanamke akanogewa akawa anakuja mara nyingi,Vsi nimeishia kumjaza tumbo, sasa anahaha kuitoa mi nimemwambia azae tu sishiriki dhambi ya uuaji, hata kama dhambi zote ni sawa, ila bora nibakie na ya uzinzi kuliko uuaji.
So swali langu ni kwa malaya wenzangu vipi ilikuwaje kwa aliyewahi kukutana na mkasa wa aina hii? Na aliumalizaje, maana wiki ya 3 sasa nimenuniwa na sielewi nini kinaendelea huko upande wa pili.
Ngoja waje wenzako i hope mtaelewana...Wakuu kwema?

Andaaa deasel ya kulainisha wakati mwenye mali akiwa anamaliza mgogoro na weweWakuu kwema?
Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na