Nimempa mimba mke wa mtu

Nimempa mimba mke wa mtu

hii story mbona kama haieleweki mkuu? Ni wewe au rafiki yako kapatwa na janga hili?
 
mdada akili kichwani inawezekana hata mimba hana anatafuta fursa
 
Mmmh naona mtu anaibiwa kabisa waziwazi
 
miezi sita bilatendola ndoa...na wanalala pamoja...usanii wa hali ya juu....hapopesa tu hata ndoainaonekana ilifungwa tu ilimradi
 
Kwan kumimbishwa ndo unastahili kupewa nyumba? Si azae halaf ampe huyo bwana mtt wake? Halafu wanaume pumb*ffff kabisa yaani atoe mali ya familia kumpa malaya wake? Hivi mkewe akipata hizo habar atajisikiaje? Then mleta mada anakuja eti ""wanaume tuwe makini na hawa wanawake zetu" km vle huyo mwanaume aliyoyafanya ni sahihi mxxxyiiiuuu!! Kudadadeki zake!
 
Huyu dada alikuwa gf wangu long time kitambo. Katika harakati za maisha tukaja kupotezana, si unajua enzi hizo hakuna mitandao.

Sasa mwezi wa 10 mwaka jana tukaja kukutana katika pilika pilika za maisha. Tukalianzisha. Yeye ameolewa na mimi nimeoa. Tukafanya na ndom for a while baadae akaniambia she want to feel my dyudyu ikiwa bare. Tukapima tuko poa wote. Tukala kavu kavu kama mara 3 hivi. Sasa amenasa.

Na anasema since tuanze kula kavu hajafanya na mme wake. So mimba ni yangu. Hataki kuitoa anasema yuko tayari kuachika lakini awe na mtoto wangu. Hataki kutoa kabisa. Nimechanganyikiwa sijui nifanye nini. Hii ni story ya mshkaji wangu ambae alikuja kwangu kuomba ushauri.

Huyu jamaa anayo pesa, na kwa vyovyote vile nahisi huyu dada amejilengesha makusudi.

Sasa dada anataka ajengewe nyumba tu aondoke kwa mumewe aishi peke yake.

It looks like huyu dada ana bifu hampendi huyo mume wake, na sababu kubwa mme wake hana kitu. Miaka 8 ya ndoa hawana hata kiwanja. So anataka kuponea kwa mshkaji wangu.

Jamaa amekubali ampe nyumba moja wapo, kati ya nyumba zake tano alizonazo na sasa hivi ukarabati unaendelea ili ahamie. Mume wake hajui chochote kinachoendelea. Mimba bado ndogo.

So sad, sijui jamaa atachukua hatua gani. Maana kwa mujibu wa jamaa mwanamke anasema hajashiriki tendo la ndoa na mumewe kwa zaidi ya miezi 6.

Najaribu kuvaa viatu vya jamaa jinsi atavyojisikia silati picha. Kweli bora ukosee kujenga kuliko kuoa. Nimeleta hii story kwa information.

Wanaume tuwe makini na hawa wake zetu
Hiyo nyumba asimpe kwanza apangishe kisha kodi itakayopatikana hapo akampangie huyo mwanamke Asubiri mtoto azaliwe na ahakikishe ni wa kwake .Vinginevyo mtoto atakuwa na baba wawili.Maisha ya sasa kubambikiwa mimba sio kabisa
 
Njoo nae niwafanyie toba,umekiri katika Uwazi sasa njoo kwangu na huyo mwanamke
 
Kwan akimpa Nyumba moja we unapungukiwa nn? Au yeye hzo nyumba tano zinamwongezea nn???
Halafu, mbona unakandia kwamba mimba sio ya rafk ako? We wajuaje??
Unasema, " tuwe makini na wake zetu?????" Huyo mume Wa mtu alifata nn kwa mpz wake wa zaman kama yuko makini na ndoa yake?

Majuto ni babu!!!!!!!
 
Mkuu The Boss huyu mtu tuachane na upupu wake sababu anjifanya kutukoroga isipokua hili sakata ni lake na mpaka sasa hivi yeye anafikiri ni ujanja,.
Acha matusi kaka. Halafu c kila post mtu anayotuma huwa n yake kweli, mwingne husimuliwa na rafk ake na kuamua kushirikisha watu kutafuta utatuzi.
Mfano, mie cjawahi weka post ya maisha yangu, huwa n experience wanazopitia best zangu.
Kuwa mpole.
 
Back
Top Bottom