Nimempa mimba adui mkubwa wa mke wangu

Nimempa mimba adui mkubwa wa mke wangu

Salaamu,

Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.

Je aitoe mimba ama aendelee nayo?

Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?

Wana JF nahitaji ushauri
kamuulize mama ako ,tabia za kuvuta bangi halafu mnaandika ujinga humuu mnakela saaana, ko unataka tukusifie nalo?? leten mijadala ya kuelimisha na kuhamasisha maendeleo pumbavuu kabsaa
 
Salaamu,

Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.

Je aitoe mimba ama aendelee nayo?

Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?

Wana JF nahitaji ushauri
Kwanini lkn kwanini??ulichotaka ni kumuonesha mkeo kuwa unao uwezo wa kifanya s ndivyo?

~Sasa umekuja hapa kufanya nini?nyie ndio msiotaka kuonywa km mkeo akihisi asiseme na km akisema basi unafanya kweli?

~Nyie ndio mnao fungua malango ya laana ktk familia zenu,na kujiungamanisha na maroho machafuu,UZINZI mbaya na mshahara wa dhambi mi mauti.sasa vuna ulicho panda.
 
Kutoa mimba ikimbie hiyo dhambi kwa miguu yako yote na kwa akili zako zote
 
hukuomba ushauri uliposingiziwa, unataka ushauri sasa, mwaache azae, mfahamishe mkeo na mwanaume wa huyo msichana ulichokifanya
 
Huyo mtoto hana kosa hata hahusiki na ujinga wenu. Hakuna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya, kila mmoja ni kusudi la Mungu. Ndio maana Biblia inasema "nalikujua toka tumboni mwa mama yako, nalikutakasa kabla sijakuumba" Niny mnaona makosa kutungwa kwa mimba ila ndio njia Mungu aliyokusudia kupitishia hapo kiumbe chake. Pia msisahau kuwa Mungu anapokusudia kufanya jambo hafungi na mazingira. Niwangapi walibakwa na mimba zikaingia leo hii watoto waliozaliwa ni baraka kwa jamii? Pengine wewe ni mmoja wao!! Je wangekutoa ni mangapi tungeyapoteza ambayo Mungu aliyaweka kwako. Zaid ujue Mungu anapokuumba anaweka na kusudi lake ndani yako. Sasa huyo mtoto alishatungwa na Ndani yake kuna kusudi la Mungu iwapo mtaitoa mjue wazi na lile kusudi la Mungu mmelitoa. Labda amemuandaa kuja kuokoa wengi hatujui! Unamtoa ni nani atakaetimiza kusudi hilo. Msifanye huo upumbavu maana mtaujutia maishani mwenu. Wapo wengi leo wanaomboleza nafsini mwao kwa kufanya hivyo, hawana namna yakujikwamua ndio walisha fanya. Ili usijejuta acha na tunza mtoto na usikubali atolewe. Ila jiandae kwa vikao zaid vya usuluhishi maana limeshatibuka. Na ujifunze wanawake wengine ni vichomi na wanapotoa vichomi vyao ukiviweka moyoni utajaua bure. Ndio maana tunapasa kuishi nao kwaakili. Ni akili ipi wakati Mungu alisema "akili ya mwanadamu ni upumbavu kwake."? Je unaishi nae kwaakili ya mwanadamu au ya Mungu? Pambana na hali yako
 
Umeongea ukweli mtupu ndugu. Maana ilifika mpaka mke kunishtaki kwa wazazi wangu. Nilikalishwa kikao na familia na kuonywa sana. Niliumia mno maana ni uzushi wa mchana kweupe
Kabla hapo tayar wife alishamfuata dada wa watu na kugomvana nae na kumpiga.
Niliumizwa sana sana
Ndiyo ulisingiziwa na ukaumia, lakini hukupaswa kufanya hivyo, hilo lilikuwa jaribu tu katika ndoa yako ulipaswa kulishinda. Ila wewe ukaamua likushinde na Mungu kakueleleza kuwa hu mwaminifu. Unadhani mkeo akijua ataamini vipi kuwa hamkuwa na mahusiano toka mwanzo?
Ni kweli inaumiza sana kusingiziwa jambo ambalo hujalifany na huna mpango wa kulifanya, ila hukupaswa kufanya hivyo.
Pole sana ila mimba asitoe kabisa ni dhambi.
 
Mpe mkeo huyo boyfriend wa huyo dada uliempa ujauzito ili ngoma iwe droo.
 
It's a sad fact...Jose, sipendi iwe hivyo lakini ndo kizazi cha zinaa. Kuliko mlete duniani watoto waliotungwa kwenye uzinzi wenu, watoto ambao hawapata malezi na mapenzi ya wazazi wote wawili, watoto waliopangwa/tarajiwa...ni heri mfanye uzinzi kwa kuzingatia;
- siku salama
- kumwaga nje
- kutumia kinga (condom)
- kutumia vidonge (morning after..postinor)
- au mtoe tu mimba!

Hakuna njia njema/takatifu katika hizo zote. Lakini leo ni nani utamwambia aache uzinzi akusikie!?? Je, kwa mfano wa hadithi ya mtu huyu, unadhani hicho kiumbe kina haki ya kuletwa duniani kwa njia hii!??

"Kila aziniye na mwanamke hana akili kabisa, tena aiangamiza nafsi yake mwenyewe."

Kilio changu ni kwa hao watoto mnaowaleta duniani, kama mkitaka kuendeleza uzinzi wenu endeleeni tu.

PS: Sijakujibu wewe directly, naongea na jamii yote...sorry brother.
Haina tatizo nimekupata japo ukweli mchungu brother
 
Huyo mtoto hana kosa hata hahusiki na ujinga wenu. Hakuna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya, kila mmoja ni kusudi la Mungu. Ndio maana Biblia inasema "nalikujua toka tumboni mwa mama yako, nalikutakasa kabla sijakuumba" Niny mnaona makosa kutungwa kwa mimba ila ndio njia Mungu aliyokusudia kupitishia hapo kiumbe chake. Pia msisahau kuwa Mungu anapokusudia kufanya jambo hafungi na mazingira. Niwangapi walibakwa na mimba zikaingia leo hii watoto waliozaliwa ni baraka kwa jamii? Pengine wewe ni mmoja wao!! Je wangekutoa ni mangapi tungeyapoteza ambayo Mungu aliyaweka kwako. Zaid ujue Mungu anapokuumba anaweka na kusudi lake ndani yako. Sasa huyo mtoto alishatungwa na Ndani yake kuna kusudi la Mungu iwapo mtaitoa mjue wazi na lile kusudi la Mungu mmelitoa. Labda amemuandaa kuja kuokoa wengi hatujui! Unamtoa ni nani atakaetimiza kusudi hilo. Msifanye huo upumbavu maana mtaujutia maishani mwenu. Wapo wengi leo wanaomboleza nafsini mwao kwa kufanya hivyo, hawana namna yakujikwamua ndio walisha fanya. Ili usijejuta acha na tunza mtoto na usikubali atolewe. Ila jiandae kwa vikao zaid vya usuluhishi maana limeshatibuka. Na ujifunze wanawake wengine ni vichomi na wanapotoa vichomi vyao ukiviweka moyoni utajaua bure. Ndio maana tunapasa kuishi nao kwaakili. Ni akili ipi wakati Mungu alisema "akili ya mwanadamu ni upumbavu kwake."? Je unaishi nae kwaakili ya mwanadamu au ya Mungu? Pambana na hali yako
Na hiyo mimba ikitolewa nalo litakuwa kusudi la Mungu tu.

Hakuna kusudi la Mungu linalotegemea dhambi na uzinzi!
 
Salaamu,

Baada ya mke wangu kunisingizia kwamba ninatembea na rafiki yake na kupelekea mpaka kugombana sana na mimi pamoja na huyo dada wa watu, nilichokifanya ni kufanya utaratibu wa kukamilisha hilo zoezi ambalo kweli nilisingiziwa. Nimetembea na huyu dada na jana amenitaarifu kuwa ni mja mzito, anataka ushauri toka kwangu.

Je aitoe mimba ama aendelee nayo?

Pili yeye ana boyfriend wake ila yupo safari kwa muda je itakuwaje?

Wana JF nahitaji ushauri
UTOTO
 
Back
Top Bottom