stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,120
- 28,022
One of the best answer of the day...Kilichokufanya umwache dada wa kihaya hakitafanya umwache huyo utakayempata?
Kumbuka Mke ni wako sio wa mama yako
One of the best answer of the day...Kilichokufanya umwache dada wa kihaya hakitafanya umwache huyo utakayempata?
Kumbuka Mke ni wako sio wa mama yako
hahaNaomba namba yake ya simu nimpige na maombi ya kumtoa pepo wa kusepa sepa na kijiji
Yaani amtongoze mama kwa niaba yako? Huyo atakuwa mke wa mama sio wako .Wakuu hii ni baada ya kumwagana na wife wa kihaya, chanzo ni anadai kurudiana maza kumpa taarifa kasema nikimrudia watoto wataozaliwa sio wajukuu wake..
Nikaona Laana inaninyemelea
Kutokujua mkuuHeheheheeh ilikuaje ukabeba mhaya?...
Wahaya wazuri kula hapohapo sio kubeba
Mkuu mbona wadau wameelewa? Ebu panua mawazo bossUmeleta hoja kama vile i kwenye kikao cha malaika wasoma mawazo yako.
Ki ufupi haitoi nafasi ya wachangiaji kupambanua mawazo
MI nawaza yule sidhani kama atakuja aolewe kwa niliyoyaona bora ukae singpMshukuru mara mbili huyo mama yako,wanawake wa kihaya ni takataka na ni hatari kwa afya.Binafsi demu nikimtongoza on the spot akinambia ni Muhaya nampotezea hapo hapo.Hao viumbe wanawezana na kaka zao wa kihaya tu.
Mkuu nilikua safarin nakuta kasepa na vitu vyote ndani ashukuru yule mtoto maana ni wangu ningemsaka na RBMama ashasimama kidedea eti atakataa wajukuu! Nkajiuliza kwani anamzalia mama, anaoa kwa ajili ya mama? Hata atayekuja atapata tabu sana mama huyo huyo atadiriki kusema bora yule wa kwanza!
A wapiUtaoa mara nyingi sana, subiri utafutiwe na atakuja atakuwa zaidi ya mliyefukuza
Hapana bossMaza unamsingizia tu...we sema ulikuta mhaya analiwa threesome...hehehe
Basi imeisha hyo..usioe mhayaKutokujua mkuu
Pamoja bossBasi imeisha hyo..usioe mhaya
Kwani uyo mkewe kaolewa kwa ajili ya kupenda ndugu au au kupendana na mumewe? Ndoa ikishaendeshwa na mama mkwe ni ngumu jamani Khaaa! Isitoshe ukute mwanamke hana izo tabia sema ndugu wakishaanza visa! Mama akiskia honi nje ama sauti ya kijana anaweza jiliza akagalagala eti kapigwa au katukanwa! Mama wakwe wana visa kijana akimskiliza mama ataoa kila sikuHuyu mtoa mada mimi nimemuelewa sana,ombi langu kwako embu changia hapo kwenye hizo tabia za mke wa mtoa mada kuliko kwenda moja kwa moja kwenye tawi (mama wa mtoa wa mada) na kuacha shina (mke wa mtoa mada) hili naona ingekuwa bora zaidi huenda mkamsaidia mtoa mada na kuwasaidia wanawake wenzenu wenye tabia za mke wa mtoa mada.
Kama una vihelahela wala tatizo sio mkeo,unajazwa maneno na ndugu zako,lbda kama we ni kapuku naeza pata pa kuanziaMkuu dogo nimezaa nae mtoto 1 saiv Ana miaka 2 ila tabia zake 1 jeuri, hapendi ndugu zangu
Kuna tatizo.mahali hasa kwako jichunge sanaNipo mbali nae of course kwa tabia zile mama yupo sahihi
Aisee katubu utamwachaje mwenzako!?Wakuu hii ni baada ya kumwagana na wife wa kihaya, chanzo ni anadai kurudiana maza kumpa taarifa kasema nikimrudia watoto wataozaliwa sio wajukuu wake..
Nikaona Laana inaninyemelea
Hamna laana ya hivo mama wakiswahili haoWakuu hii ni baada ya kumwagana na wife wa kihaya, chanzo ni anadai kurudiana maza kumpa taarifa kasema nikimrudia watoto wataozaliwa sio wajukuu wake..
Nikaona Laana inaninyemelea