Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
- Thread starter
- #21
Nililamba galasaLakini si ulimchagua mwenyewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nililamba galasaLakini si ulimchagua mwenyewe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unaweza lamba kasa tenaNililamba galasa
Mama yupo makini SanaUnaweza lamba kasa tena
Mama ashasimama kidedea eti atakataa wajukuu! Nkajiuliza kwani anamzalia mama, anaoa kwa ajili ya mama? Hata atayekuja atapata tabu sana mama huyo huyo atadiriki kusema bora yule wa kwanza!Hebu viweke hivyo vituko hapa. Unaweza pata ushauri wa kukujenga hayo yasijirudie
Mmmmhh yaan mama akishachagua akaridhika naye na wewe unaridhika naye? Mkeo unamuolea mama au unaoa kwa ajili ya kujenga familia yako kama ambavyo mama ako na baba ako walichaguana wakajenga familia yaoMama yupo makini Sana
Utaoa mara nyingi sana, subiri utafutiwe na atakuja atakuwa zaidi ya mliyefukuzaNipo mbali nae of course kwa tabia zile mama yupo sahihi
Mamaza wanashikiliaga sana akili za vijana
+umalaya ndio sifa zao hizoMkuu dogo nimezaa nae mtoto 1 saiv Ana miaka 2 ila tabia zake 1 jeuri, hapendi ndugu zangu
fukuza ng'ombe iyoNililamba galasa
AliigawaYe ndo kasepa sijamwacha ila kwa vituko vile bora asepe tu
Tatizo vijana siku hizi wanaendekeza akili za kushikiwaUkiona hivyo ujue mama anajua kijana wake ni m bovu, hayupo makini wala hawezi kujisimamia
Taabu kwelikweli kwa waolewaji
Bibie naona umeacha kujadili na mumshauri kijana kuhusu tabia za mkewe mna mjadili mama.Ukiona hivyo ujue mama anajua kijana wake ni m bovu, hayupo makini wala hawezi kujisimamia
Taabu kwelikweli kwa waolewaji
Huyu mtoa mada mimi nimemuelewa sana,ombi langu kwako embu changia hapo kwenye hizo tabia za mke wa mtoa mada kuliko kwenda moja kwa moja kwenye tawi (mama wa mtoa wa mada) na kuacha shina (mke wa mtoa mada) hili naona ingekuwa bora zaidi huenda mkamsaidia mtoa mada na kuwasaidia wanawake wenzenu wenye tabia za mke wa mtoa mada.Utaoa mara nyingi sana, subiri utafutiwe na atakuja atakuwa zaidi ya mliyefukuza
Bibie naona umeacha kujadili na mumshauri kijana kuhusu tabia za mkewe mna mjadili mama.
Mwanamke aisiye muheshimu mume wake achilia mbali hayo ya kutowapenda ndugu wa mume na ujeuri vinavumilika. Hili la heshima,unalipa uzito gani ? Baada ya kupata ufumbuzi hapo mje kumjadili mama.