Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 720
- 1,210
Unaharakia wapi...weka story nzima
Huyo dawa yake ilikuwa moja tu,kumsugua hadi atoe cheche,kwa wahaya ni kumpiga Katerero Mbona angekuwa anajichekesha chekesha tu kila akikuona.Mpe dozi babkubwa angenyooka tu.Hana utii kwangu kama mume, hapendi ndugu, kiburi, mnaweza mkae wiki Haomwongei
Sio ndugu,we sema Mama anakusawazishia,yani Mama ndio kila kitu.Mkuu dogo nimezaa nae mtoto 1 saiv Ana miaka 2 ila tabia zake 1 jeuri, hapendi ndugu zangu
Siku hizi hatuiti galasa/galasha! Tunasema wewe ulilamba dofye hilo. [emoji23]Nililamba galasa