Nimempa kibuti rasmi

Shida yote ya nini we piga chini tu
JamiiForums-368542019.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa mjini ni waduwanzi sana. How can you West your time exploring a person who is just a woman?!
Dah....ndio maana wanaume wa mikoani mnazeeka na stress haraka,utakuta mtu anakaa na mwanamke,mzinzi,malaya,jeuri,kiburi.....eti mwanamke mpaka umfumanie ndio umuache! Na hata mkimfumania siku mbili mnamrudisha ndani!.....shenz*** ujinga akafanye kwa baba na mama yake**

Dabil piga chini huyo Malay* hawezi badilika. Anatafuta sehemu ya kuishi na kula tu kwako.
 
Nikaamua nitafute mtego ili kuwe na kibuti ambacho hata yeye ataona sijamsingizia.

Nikaunda account fb kwa jina la jamaa na kujifanya Kama jamaa ,halafu nikamwadd kwa kutaanguliza Salam na kumwelezea kwamba ile account nimesahau password tuchat kwenye hii mpya . Wala hakujibu,gafla nikaddiwa kwa account nyingine yenye mrembo picha na jina tofuati ,akaniambia mi ndo flani ile account jamaa yangu anaweza kusoma msg tuwe huru huku. Kwa siku mbili nikiwa nimerudi kwenye mishe basi nikiingia chumbani yeye anabaki sebuleni kwamba anaangalia movie kumbe anachat na Mimi ,kifupi jamaa anamgonga sana , nimemwomba hadi picha za utupu katuma akidhani ni jamaa.Nimempanga tukutane chimbo kesho anipe utamu.Bila shaka nitatangulia lodge nione huyu mbuzi akijitokeza nampa kibuti bila kumsemesha
Hahaha...
We Noma mkuu!
Alikuja kwny hiyo kideti?
 
Nice story. Loved ones don't communicate only through social media. Do you want us to believe that yr manzi communicates with her mchepuko only through fb😓😭
 
Sasa ushahidi unao lodge yanaenda kufata nn mkuu , hio hela ya lodge kachome kidari ya mbuzi ujipongeze
 
Kuna jamaa humu huwa anauliza "hao wanawake wa aina hiyo hivi huwa mnawatoa wapi
Tatizo Wana feli padogo Una takiwa na mwanamke cha Kwanza lazima ujue ni mwanamke wa aina gani kuna mwanamke wa kumla na kuacha na mwingine wakuwa nae kwenye mahusiano sasa awa wakujenga nao uchumba wapo wachache Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom