nimemmiss sana

Mie nilikuwa nimekumiss wewe but vile ushajitokeza hapa roho yangu burudani kama nimemeza bonge la barafu... Tehe.

Usijali barafu wa moyo kipepeo cha nafsi, nimefurahi kukuona new year ikiwa bado changa!! Leo hakuna kulog off kama washawasha!!
 
Usijali barafu wa moyo kipepeo cha nafsi, nimefurahi kukuona new year ikiwa bado changa!! Leo hakuna kulog off kama washawasha!!
Lol... Asante sana kipipi... Itabidi nikupitie badae tupange mikakati ya kwenda kumtafuta washawasha manake sio bure asee, mara ya mwisho ilikuwa amrudishe wife kwao...
 
Kweli kabisa, mie pia nimemmiss sana, sijui amepatwa na nini huyu mwenzetu manake alikuwa na mahudhurio mazuri jf mara ghafla kapotea..
ndicho kilichonifanya na mie nistuke kidogo,mara ghafla simuoni
 
una maana ana ID mbili kama mimi?
sio kila unachokifanya wewe ukadhani na wenzio wako hivyo ndugu yangu.Mie huyu mtu sijui kwa sura wala nini ila ni urafiki wa hapa jamvini ndio ulionivutia kwake.
 
Ndugu yangu nakushukuru sana kwa kuonesha kujali kwako,ni kweli nilipotea ghafla kutokana na mishemishe ya mwisho wa mwaka ila namshukuru Muumba kayafanya yote yakawa rahisi,meseji zako zote nimezipata na nimeshakujibu,kweli Jf ni zaidi ya uijuavyo,nitalitekeleza ombi lako ndugu yangu.Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…