Miss Bantu
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 153
- 149
zilikua ni siku ngumu sana kwangu kupita bila kusikia kitu chochote kutoka kwa judgement jaman, huyu kaka sijui kanipa nini kila muda ilikua ni kumuwaza yeye... lakini cha kustukiza nlivorudi jukwaani nakutana na maneno ya kutatanisha kutoka kwa BEIBE NASTY wana chit chat emh tusaidiane hapa.. bado nina changu kweli au ndo nshaliwa?
MISS YOU MY JUDGMENT
MISS YOU MY JUDGMENT