figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Kwa hiyo unaremaje
Hiyo ni kengele ya hatari.......labda ni fani yake hiyo ya kusasambua muhoji vizuri tu.....maana profession ziko nyingi cku hizi
mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza.
hakujua kama nipo maeneo yale coz alijua nipo home naumwa.kwa hasira nikarudi zangu home.
kesho yake nikamwambia kwamba kuna watu walimuona club.akakataa katakata hadi akalia kwamba hajatoka home.
KWELI HAJATOKA, WE MUAMINI TU, UMESIKIA EEEH!
Kwa nini wewe hujaenda kumtuza ndiyo awe na uhakika kwamba umemuona??mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza.
hakujua kama nipo maeneo yale coz alijua nipo home naumwa.kwa hasira nikarudi zangu home.
kesho yake nikamwambia kwamba kuna watu walimuona club.akakataa katakata hadi akalia kwamba hajatoka home.akasema hao ni wabaya wetu wanataka kutugombanisha.nimfanyeje?
X akija hapa msikubali atakayo yasema ni muongo.mia
ungemtuza minoti nawewe tena usoni kama pedeshee ili ajue ushahidi tosha unao
Pole sana lakini ebu nikulize swali lakizushi ,ww umesema umemdanganya mchuchu wako kua unaumwa,ulijuaje kama yuko hapo Maisha au ww mgonjwa ulienda kufata nn?inaonyesha wazi kua nyote kunguru na hakuna mkweli kati yenu..mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza.
hakujua kama nipo maeneo yale coz alijua nipo home naumwa.kwa hasira nikarudi zangu home.
kesho yake nikamwambia kwamba kuna watu walimuona club.akakataa katakata hadi akalia kwamba hajatoka home.akasema hao ni wabaya wetu wanataka kutugombanisha.nimfanyeje?
X akija hapa msikubali atakayo yasema ni muongo.mia
Hahaha! yaani huyu kijana wetu Figganigga asasambue ? kweli akutukanae hakutafutii tusi lol!na wewe nenda kasasambue.
Kwanza utapata hela, pili utakuwa umelipiza kisasi