Nimemkumbuka watu 8

Wajameni tafadhali msimzushie daddy etu kifooo... yu buheri wa afya tele.

C.c. ladyfurahia
nani kasema dady hayupo duniani yuko mbinguni
kheee jamani mbona wanatangaza majanga hawa washindwe na walegeee
daddy Watu8 yupo buheri wa afya yaani ana makilo sasa hivi ukimuona kama tyson vile
mashughuli yamembana sana ndio maana hayupo huku atakuja soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…