Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,472
- 3,067
Naipenda ile nyimbo yake na Travis Scott "Gatti". Dior Dior nayo ni moto. Kuna ile tena kaimba na Quavo "Shake the room".
"Welcome to the party"
hakuna cha maana sana wanachoimba zaidi ya drugs and violence ila kule tunapenda zile flows tu na midundo!!!
"Welcome to the party"

hakuna cha maana sana wanachoimba zaidi ya drugs and violence ila kule tunapenda zile flows tu na midundo!!!