Kweli huyu mwamba...alikuwa more than genius kichwa ilijaa hesabu zaajabuAnasingiziwa tu Hitler alikuwa mtu bora kuliko kuwahi kutokea kutokea katika uso huu zaidi ya mchonga meno, alisingiziwa kaua wayahudi ni uongo tu
Sio bibi yangu niwarafiki yang...alafu siokweli german iliishia egypt hata Tanganyika lilikuwa koloni la German.Huyo bibi yako ndio wale wabibi wanaosimulia story za kichawi za uongo mwisho wa siku story zinakuja na kuonekana ukweli ila huwa ni myths au hoax...
Kama unaelewa maandishi ya kingereza, soma kitabu kinaitwa "RISE AND FALL OF THE THIRD REICH, The history of Nazi Germany".Kunasimulizi nyingi kuhusu huyu mwamba ambazo hazijawahi andikwa..katika simulizi nilihadithiw...
Inategemeana naneno .Ukiona tu neno unaambiwa
hapo ni uongo tu
iukahapo ni uongo tu
Anasingiziwa tu Hitler alikuwa mtu bora kuliko kuwahi kutokea kutokea katika uso huu zaidi ya mchonga meno, alisingiziwa kaua wayahudi ni uongo tu
NtajaribuKama unaelewa maandishi ya kingereza, soma kitabu kinaitwa "RISE AND FALL OF THE THIRD REICH, The history of Nazi Germany".
Achana na stori za vijiweni za wapuuzi wanaoshinda kutwa kubishana Simba na Yanga!,
Kwahyo na kim jon kiduku...yupo kwenye kundi hili lama facistFacist wengi ni watu smart sana wanaitikisa dunia na kuchallenge dunia kwa mitazamo yao yenye ushwawishi wa ajabu na wengi wamekuwa wakihusishwa na kuabudu shetani(satanism) kina musolin,hitler na mwamba wa karne hii bwana Aleksandr Dugin na kitabu chake; The foundations of geopolitics:The geopolitical future of Russia,1999 kilicho hamasisha vita ya crimea (2014) na ukraine.
Sio bibi yangu niwarafiki yang...alafu siokweli german iliishia egypt hata Tanganyika lilikuwa koloni la German. ..alafu cjasema nihistoria iliyoandikwa kwenye kitabu hapana...nisawa na kusema kwenye vita vya kumngoa nduli idiamin uganda kunastori nyingi behind hazijawai kuandikwa popote pale. .kama wanajeshi wengi wa tz waliuwana wenyew kwa wenyw unajua kwann
Kunasimulizi nyingi kuhusu huyu mwamba ambazo hazijawahi andikwa..katika simulizi nilihadithiw...
Hawezi kukisoma huyu. Watu kama hawa hupenda story za Kanumba alifariki kisa Freemason, mfano ukileta taarifa ya daktari au forensics ikisema alisukumwa akaanguka akavuja damu kwenye ubongo akazimia na kufariki wanaiacha ikiwa na evidence zote za polisi, daktari na mahakama ila wanakubali story ya Freemason inayotungwa na jamaa aliyeishia la saba amevaa kanzu ametoa nakala za CD anauza. Humo wametajwa Jay Z, Papa, Obama na Kikwete eti ni wanachama.Kama unaelewa maandishi ya kingereza, soma kitabu kinaitwa "RISE AND FALL OF THE THIRD REICH, The history of Nazi Germany".
Achana na stori za vijiweni za wapuuzi wanaoshinda kutwa kubishana Simba na Yanga!,
Inasikitisha sana!Hawezi kukisoma huyu. Watu kama hawa hupenda story za Kanumba alifariki kisa Freemason, mfano ukileta taarifa ya daktari au forensics ikisema alisukumwa akaanguka akavuja damu kwenye ubongo akazimia na kufariki wanaiacha ikiwa na evidence zote za polisi, daktari na mahakama ila wanakubali story ya Freemason inayotungwa na jamaa aliyeishia la saba amevaa kanzu ametoa nakala za CD anauza. Humo wametajwa Jay Z, Papa, Obama na Kikwete eti ni wanachama.
Hawa level zao ni Story book kile kipindi cha Clouds sijui Wasafi, sio vitabu. Kuna maneno mtu akisema unaona huwa anapenda simulizi za aina gani
Bibi yenu hawezi jua lolote juu ya Nazi Germany wala Hitler. Si ajabu hata maneno"ich liebe dich" haelewi ni nini. Story yake ya kutunga, naye ukute kahadithiwa.Sio bibi yangu niwarafiki yang...alafu siokweli german iliishia egypt hata Tanganyika lilikuwa koloni la German.
Halafu cjasema nihistoria iliyoandikwa kwenye kitabu hapana...nisawa na kusema kwenye vita vya kumngoa nduli idiamin uganda kunastori nyingi behind hazijawai kuandikwa popote pale. .kama wanajeshi wengi wa tz waliuwana wenyew kwa wenyw unajua kwann
Mweeee haya yatakuwa ni masimulizi ya kanda za Mr. Bond zilipigwa marufuku na Mrema mwaka 1988Kunasimulizi nyingi kuhusu huyu mwamba ambazo hazijawahi andikwa.
Katika simulizi nilihadithiwa na bibi warafiki yangu mwaka juzi tu ikanishangaza kumbe mwamba kweli alikuwa ananguvu za kishetani bibi huyo anasema kipindi,alipo kuwa binti ndo wakati huo Hitler anapambana na ungereza kwenye koloni la east africa vita vilikuwa vikali Wa German wakashindwa ikabid waachie koloni.
Bibi huyo anasema hitler alikimbia kuna mpaka upo huko kaskazini mwa tanzania umepakana na Kenya kuna mto mkubwa Sana ndo umetenganisha Tanzania na kny.
Juu kuna mlima mrefu kiasi chini ndiyo huo mto kufika pale mwamba alijirusha kutoka juu ya mlima mpaka kwenye mto akazamia chini Waingereza wakafika piga mabomu kuuzingira huo mto lakini mwamba hakuonekana.
Akaja kuibukia huko mbele na hiyo ndo ilikuwa mara ya mwisho kuikanyaga ardhi ya africa hajawai rudi.
Stori nyingine kuna sehemu huko huko inasadikiwa aliacha sanduku lake katikati ya jiwe kuna msitu unapitisha maji unaambiwa kuna mzee alienda kulichukua ilo sanduku kufika akaliona ile kuchukua akapofuka macho.
Kama na wewe ulishawahi kusikia habari zake huyu mwamba unaeza jazia.
Ukiona mtu anaandika cjasema kamwe usiamini alichokiandika, maana hata yeye hakijuiSio bibi yangu niwarafiki yang...alafu siokweli german iliishia egypt hata Tanganyika lilikuwa koloni la German.
Halafu cjasema nihistoria iliyoandikwa kwenye kitabu hapana...nisawa na kusema kwenye vita vya kumngoa nduli idiamin uganda kunastori nyingi behind hazijawai kuandikwa popote pale. .kama wanajeshi wengi wa tz waliuwana wenyew kwa wenyw unajua kwann
May beAmesema kwenye vita ya pili ya dunia german hawakufika tanganyika
Hajasema kuwa german hajawahi kufika tanganyika kipindi cha ukoloni