Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

Yani mke aliekusaliti unammisije ? K zimejaa kila mahali! Ni mpumbavu ndio maana akamvulia chp yake me mwingine! Ni uchafu huo hastahili msamaha
Ni vile mazoea na sijapata mwingine wa uhakika
 
Pole sana nilikua nawaza nimuache mke wangu nawahurumia watoto kiukweli sipendi kuona wanandoa wanaachana lakin sasa hakuna namna utavumilia hadi lini
Kama hujafikia hatua ya talaka vumilia tujitahidi kumnadilisha mkeo
 
Back
Top Bottom