Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 7,850
- 8,493
Kaka mke mzinzi sio wa kurudiana nae
Kama ungelijua.....
Kaka mke mzinzi sio wa kurudiana nae
Umeshazoea now, sio?Siwezi ruhusu fikra na maamuzi ya namna hio Tena akilini mwangu
ni kweli!Kwakua hayajakufika
yaliyonifika hayo ni cha mtoto......kadhaa nilisha wahi she humuKwakua hayajakufika
We ni mpumbavu, Labda mamako ndo yupo hivyo,Yan empty head na kazi yake ilikuwa ni ku offer k TU kama ulivoandika hapo juu.Mwanamke kumvumilia mwanaume anaye chepuka ni rahisi kwakua hakuna kitu kikubwa wanacho offer zaidi ya k..Ila Kwa mwanaume inaumiza ...coz kuanzia Hela , attention ..care ...n.k vyote hvyo anavitoa na Bado mwanamke analiwa nje ....mwanamke hana Cha kupoteza
Ila babuu tatizo watoto. Kama mwanaume hujawahi chovya nje kabisa SAWA. Ila kama umewahi na unaendelea, hakuna jinsi. Wakikuwa na kujitegemea, hapo waweza toa talaka.Kaka mke mzinzi sio wa kurudiana nae
Comments zako zote nimezifuatilia huko juu hadi nimetamani kukuona live😁😁😜!Mi namshangaa mkuu... badala amuite yaishe walee watoto yy ameendekeza kisasi tena kinamtafuna mwenyewe[emoji848]
We umejuaje au wewe ndo unamuingizia?Kuna mke wa jamaa Dodoma anafanyiwa harassment sana,anaingiziwa sana vidole kwa haja
Umechachuka?We ni mpumbavu, Labda mamako ndo yupo hivyo,Yan empty head na kazi yake ilikuwa ni ku offer k TU kama ulivoandika hapo juu.
Idiot
Kuna nini mbona nimeitwa hapa
KAMA MWANAMKE UMEMFUMA LIVE AU KWA SMS NA IKAONESHA KWA UDHIBITISHO DHAHIRI SHAHIRI KALALA NA HUYO MWANAUME MUACHE AENDE ZAKE....... UYO NI KAMA KAHABA KAMA MAKAHABA WAJIUZAO....Habari,
Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto (under 7years). Naanza ku experience mateso makubwa kwakuogopa kukaa Karibia na wanangu kwakuulizwa mama Yuko wapi na kwanini hakai nyumban.... Aisey asikwambie mtu nnawakat mgumu mnoo ukizingatia hatujazoea kudanganya watoto.
Nikiingia chumbani ndo kabisaa upweke ninaopata hadi nakonda na hamu ya kula inaisha. Kila nikifikiria kuanzisha mahusiano mapya sioni na Wala sielewi kama ntapata mwanamke niliyemzoea Kama mke Wang.... Si Kama mzuri kuliko wengne ila nifundi kweli kweli💘. Nahisi. Imekua ngumu kwasababu mimi sio wa michepuko ndio maana nateseka.
Nafiria kuhama nyumbani kwangu, watoto nipeleke kwa bibi yao mi nitafute chumba niishi kama bachelor Mana sitokua mazingira ya nyumban kwangu nilipozoea kua na mke wangu na watoto labda itanisaidia. Kwakweli sikutegemea ndoa inawezakuvunjika kirahisi hivi maana nilidhani Nina ndoa very strong (tulidhani tumewezakuchukuliana vyakutosha)
Separation sijambo rahisi wazee kama unadhani unaweza kuokoa ndoa yako anyhow jitahidi uokoe before too late. I missed her but Moyo wangu hauna Imani nae Tena nahisi nnahisi nnaweza fungwa kwa ajili yake.
Usiombe
Huoni nime quote jina lako hapoKuna nini mbona nimeitwa hapa
Kweli kabisa na nimeliachilia mbali mpaka sasa sijarudiana naeKAMA MWANAMKE UMEMFUMA LIVE AU KWA SMS NA IKAONESHA KWA UDHIBITISHO DHAHIRI SHAHIRI KALALA NA HUYO MWANAUME MUACHE AENDE ZAKE....... UYO NI KAMA KAHABA KAMA MAKAHABA WAJIUZAO....
Nimeona ndo nikajiuliza nimefanyaje yalabi 😂Huoni nime quote jina lako hapo
Njoo tufanyaneNimeona ndo nikajiuliza nimefanyaje yalabi 😂
Mkuu vp bado hujaoa au ulirudiana na mke wakoHabari,