Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Chakushangaza mijitu inafurahia maagizo ya kwenye media....tens MTU kama pasco.

Maagizo ya kwenye media ndio ubunifu wenyewe Mkuu sumbai! Mnashangaa kwa kuwa hamjazoea mkizoea hamtashangaa tena. Hii nchi ilipofikishwa inahitaji hatua za aina yoyote ile ili watu waamke na kutenda yanayostahili na kupaswa kutendwa chini ya mwamvuli wa HAPA KAZI TU!
 
Kwa maneno tu ya kufurahisha hadhira ndio mtu apewe ukuu wa mkoa? Tuwe serious. Nafikiri Tanzania ndio itakua ni nchi inaotoa uongozi wa juu kirahisi Sana.
 
Kwa maneno tu ya kufurahisha hadhira ndio mtu apewe ukuu wa mkoa? Tuwe serious. Nafikiri Tanzania ndio itakua ni nchi inaotoa uongozi wa juu kirahisi Sana.
 
Watanzania wameaminishwa kumchukia mtu anayejituma, wanataka wote wawe wavivu wavivu kama kawaida yao ili wawe sawa. Akitokea mtu anayefanya zaidi atachukiwa, kupondwa na kuambiwa anataka sifa.
 
Tanzania Rais anakuwa na Washauri wengi wenye Busara, Na Pia Wanatafiti sana Mtu kabla ya Kupewa Majukumu. Nitashangaa sana Kama Washauri wa Rais Magufuli na Wanaomletea Taarifa Muhimu watamwambia Kuwa Makonda anafaa? Magufuli ana akili sana, Wamama wanashtukiaga watu wa namna ya Makonda Kiurahisi, Inaonekana Mama Magufuli amekaa poa sana Hawezi Kumwacha Mume wake Kuchagua Viongozi wanaume wenye tabia za "Watoto wa Kike!" Nimewekea vibano kwani Nisipokuwa Makini Ni Kuwadhalilisha watoto wa kike nikiwalinganisha na Makonda, na sio peke yake Hata Polepole, Don't let these guys fool you, they are like hyenas looking for dead bones, they can do and say anything to make their day!
 
Unafiki mwingine bwana! Mamba kwenye maji yanayofika kiunoni hao mamba walitokea wapi?
Wewe hata Mamba mwenyewe unamjua alivyo? Zaidi ya kumuona kwenye Tv sidhani kama umewahi kumshuhudia Mamba majini.
Ngoja nikuambie kitu, siku zote uongozi wa kupewa kutokana na tukio ulilo lifanya na si uwezo wako lazima utapata shida kama hizi anazo zipata Makonda.
 
Siku zote mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe hivyo kama mtu anafanya vizuri shart asifiwe kiukwel namkubali sana dc makonda.......hawa wanao mkana makonda hawana tofauti na waliomkana yesu angari wakijua alikuwa akiubiri yaliyo mema. Kiukwel huwezi kupendwa na kila mtu hata ufanye jema gani ndivyo binadamu walivyo. Hata makonda jana alisema kiongozi aliye imara hawezi ogopa kusemwa semwa wala kutukanwa....na ukiona wana kusema sana ujue wanakukubali kiana.....ndio maana mr magu leo anatumbua majipu lakini wapo wachawi wachache wanaombeza lakini maneno ya wachawi hao hayamkatishi tamaa coz anajua wanamkubali ndio maana wanamjengea hoja.
 
Pasco umetumia lugha kisawasawa ktk kumnanga kondakta.

Laiti angekuwa na uwezo wa kufahamu hilo asingeenda kwenye uBalkia kuongea huo ujinga

Jiji linaendeshwa na vimeseji vya kutoka kwenye matamasha ya balkia wa nguvu, nani anaangalia hivyo vitu.
Akiwa mkuu wa Mkoa, jiji si litaendeshwa direct from Fiesta
 
Mkuu ni ugeni tuu humu jukwaani hatujuani, kwa kukusaidia tuu, mshahaa na marupurupu yote ya DC ndio pesa ninayolipia pango ntuu la nyumba ya NHC niliyoipangisha mjini kati!, nikijumlisha na mishahaa ya watu wangu, nawalipa ma DC 5!, hivyo huyo DC wa kumlipa Pasco wa jf, amlipe kwa pesa gani?!.

Japo kuna kauli everybody has a prrice, Pasco wa jf, has no price!, nini Makonda anilipe, hata Magufuli hawezi
kunilipa itakuwa Makonda?.

Pasco
Nimeisoma hii post nikiwa Ibadani nimecheka sana.
 
Hapa kwenye post hii kuna falsafa inataka tafakari ya kina. Ngoja nisome tena. Yasije kuwa yale ya kushangilia vazi la mfalme ni zuri sana mpaka alipotokea mtoto mdogo akapiga kelele mfalme yuko uchi.
 
Tatizo la Makonda ni kuzuia utawala bora ,utawala wa demokrasia kama ilivyopendekezwa na wananchi na Rasmu ya katiba ya Warioba na kingine kutowaheshimu wazee kama alivyomukwinda Jaji Warioba.Mengine naona kama anatafuta UMARUFU na MISIFA kwa kujitakia.
 
Back
Top Bottom