kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
Moyo unaniwia mzito mno kuiachia hela yanguElfu 35000 tu .... Umeiwekea bando kbs tuidiscuss Huku..kweli? Samehe tu
Hapana, 3500 ndogo kwako mkuuModerator JamiiForums kwanini mnaruhusu thread za kitoto hivi?
Potezea hiyo hela fanya mengine.Za asubuhi,ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.
Hii ya sasa 3500 anasema hana,na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu.
Ananiambia aje nyumbani au nitafute guest tukamalizane na nisimdai tena.
Nashindwa kuwaelewa wanawake,uaminifu siku hizi hakuna kabisa.
Na magonjwa haya ya siku hizi,naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza. Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno
AhsantePotezea hiyo hela fanya mengine.
Jilani yako kutoka nae kimapenzi hautaacha maana atakuchanganya huko chumbani uwe unamkumbuka kila mara..Utapata shida badae.
Njaa itakuuaZa asubuhi,ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.
Hii ya sasa 3500 anasema hana,na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu.
Ananiambia aje nyumbani au nitafute guest tukamalizane na nisimdai tena.
Nashindwa kuwaelewa wanawake,uaminifu siku hizi hakuna kabisa.
Na magonjwa haya ya siku hizi,naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza. Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno
Sawa, nina uchungu na hela yanguNjaa itakuua
Yaani elfu tatu mia tano (3,500) tu unaanzisha thread?????
Watoto waliomaliza la saba juzi wanatusumbua sana
Ni 3500. Elf tatu na Mia tanoElfu 35000 tu .... Umeiwekea bando kbs tuidiscuss Huku..kweli? Samehe tu
Hujaelewa, mimi simuhitajimkuuu tafazari nicheki pm,ntakupa hio pesa usimfanye hvo .
Sio 35000, ni 3500 mkuuElfu 35000 tu .... Umeiwekea bando kbs tuidiscuss Huku..kweli? Samehe tu
Msamehe Mungu atakupa nyingi zaidiZa asubuhi, ni jirani yangu huyu na si mara ya kwanza mimi kumkopesha hela. Nimemkopesha jumla ya 15000 kwa nyakati tofauti na zote hulipa.
Hii ya sasa 3500 anasema hana, na ukizingatia mimi nilikuwa na shida nayo sana hiyo hela ili niitumie kwenye matumizi yangu. Ananiambia aje nyumbani au nitafute guest tukamalizane na nisimdai tena. Nashindwa kuwaelewa wanawake, uaminifu siku hizi hakuna kabisa.
Na magonjwa haya ya siku hizi, naomba nipewe njia sahihi za kuipata hela yangu pasipo kumuumiza au kumkwaza.
Nilitaka kusamehe ila moyo unaniuma mno.