tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
Muda wa kufanya yote hayo sina,,,,, x zama zake zimepita tafuta kazi ufanye uwe bize
Subiri rafiki yako ataingiwa na roho ya huruma na kumpa yote na hatimae wataoana, unacheza na ndoa watu wanataka kuolewa.
Muda wa kufanya yote hayo sina,,,,, x zama zake zimepita tafuta kazi ufanye uwe bize
Hata angekuwa pacha wake angemuacha tu! Kwani mapacha akifa mmoja na mwingine anakufa kwa kuwa hawezi kuishi bila pacha wake!!!!? Huyu ni mpuuzi.....!Aiseeeh kuna watu hawanaga kazi ya kufanya, faida gani umepata baada ya hilo????
Inafika kipindi watu wajifunze kukubali matokeo, sio kila uhusiano mwisho ni ndoa, nyingine ni njia za kukufikisha panapokusitahili. Endelea na maisha yako muache na yake hukuzaliwa nae kusema pacha wako huyo.
Hakuna raha kama kumkaushia X.....halafu anakudediketia nitampata wapi by Diamond.....!
king'asti kumbe wakale umekula chumvi unamkumbuka huyo jamaa miaka ya 80 alikuwa noma agoro anduruHahaha.
Nilisomaga kitabu cha agoro anduru, kinaitwa 'this is living and other stories'
Hongera. Now get a life and let the burger live his
king'asti kumbe wakale umekula chumvi unamkumbuka huyo jamaa miaka ya 80 alikuwa noma agoro anduru
shikamoo naomba sh hamsiniUwege unaniamkiaga. Mie nimesoma wagagagigikoko
akichukuliwa na rafiki yako kama hujui kujikaza kidogo utaumia kimoyomoyo maana kila siku utakuwa unawaonaHivi ex nae akichukuliwa unaweza kusema umesalitiwa? Umiliki unaisha baada ya miaka mingapi?
halafu anaona kafanya ujanjaaaaa,,,Wewe na shoga yako mna uhakika gani kama jamaa alisafiri mpaka musoma.