Nimemkomesha kidogo

Nimemkomesha kidogo

aliniacha bila kosa...

Pole sana, inasikitisha kukuacha bila kosa (kama ni kweli lakini, isijekuwa wewe mwenyewe ndiye chanzo).

Ila unatamani akurudie? Jipe muda wa kusubiri. Achana na mambo ya "karumanzira".
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa wewe uliumia zaidi kabla kuliko yeye sasa hivi. Ukweli ni kwamba hata unayomfanyia sasa hivi hayatazidi maumivu aliyokupatia hapo kabla. Hata hivyo inasaidia kukupunguzia hasira uliyopata wakati uleeee..:alien:
 
aliniacha bila kosa na kunitambia anaoa... nikamwendea kwa bibi cjui kikatokea nn ckusikia cha ndoa tena.
hii ya leo sasa.. .
kamu add friend. rafiki yangu fb na kumtongoza nikamwambia amkubal amwambie anaishi musoma... jamaa kapenda hasa... tukamfanyia mcheo wakapanga wakutane akamtambulishe kwao!! akakubal kapanda basi kutoka dar to musoma kafika kapanda mpaka majita kufika akamtext kumbe umefika pole mi ni mke wa mtu nipo dodoma

nimefurahi sana maana alikutana na wajina akijifanya kidume wakamwibia...
swali kwa wanaume utampendaje mtu fb!! ndani ya wk unamfata alipo???

Shida!
 
Alikuacha sahihi kabisa, kama mwanamke mwenyewe mshirikina hivyo
 
Mlipokutana, ulikua bikra? Kama hapana, wewe hukumuacha aliyekubkiri? Na je, na huyo wa kwanza angekufanya haya uliomfanyia mwenzeko? Wewe angaika tu, sasa umefaidi nini? Tukikuita wewe ni mama mkwe wa shetani itakua tusi? Tukikuambia kua umekalia misumari itakua mbaya? Unakumbuka onyo alilowapa Kova? Umesikia mauaji ya wanawake dar? We binti tulia jiupushe kufuatlia maisha ya mtu ambae huna hati miliki kwake! Huyo ndugu ameaona mbali kukuacha na utaendelea kuchezewa mwanzo mwisho kwa tabia zako!
 
!
!
wanawake bhana.....huyu niliyejitangaza kwao jumamosi iliyopita kableed tangu Jumapili jana kamaliza na kwa makusudi mazima kaamua kulala sebuleni eti ooh leo kila mtu na kwake. Nimemaind vibaya mno, siongei angojee paybacktime. I swear you ll pay darling, hakuna mwenzio yoyote aliniumiza nikamuacha hivihivi.
 
Baada ya yote hayo umepata faida gani??
 
We nawe thread zako ni uongo mtupu..
Kila siku kutunga uongo tu pambaaafu
 
sasa wewe hapo umefaidi nini je kama alikuwa na safari ya huko? na hiyo ikawa by the way?
 
Kweli, kwanini ajihangaishe? Wanaume wapo tele.
Mtaa wa pili tu hapo akizunguka atagombaniwa kama mpira wa kona...

This is another story......bibie kaenda hadi kwa mganga, still bwana hamtaki....sa hapo mtu unafanyaje?

Me mzima lakini....
 
Mke wa mtu anapata muda wa kutongozana na mtu had kufikia hatua ya kutaka kuonana nae then unasema kaolewa na ana mtoto? Huyo ni kahaba mwenzio but kuweni makini mnathamin mapenz kama mlizaliwa kwenye danguro? Hii mitoto ya zinaa bora tu imezaliwa mana kama msingetolewa na wazaz wenu haya yangekuwa makansa yanawatesa baba na mama zenu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
watu wanapenda tu hata kama hamjui hapana chezea hisia za malaya chukuchuku
 
Huu ndo ujinga wa wanawake wengi,unaleta jeuri wakati huna uwezo wa kumuacha! Unahangaika hadi kwa waganga yote ya nini wakati ulikuwa na uwezo wa kubadili tabia na kubaki. Unashangaa kutongoza fb!? Yaani ww ni wa ajabu kweli. Rafiki yako lazima atakuja kupakuliwa na huyo jamaa we subiri utaona!
 
Kwani kipindi mnavuana pichu mlikuwa na mkataba wa kuoana? Yawezekana alikuacha kutokana na tabia flani mbaya, sasa unalazimisha ndoa hadi kwa bibi?
 
Back
Top Bottom