nimemit na my x b/friend

nimemit na my x b/friend

Status
Not open for further replies.
d
Habari bas leo katka pita pita zangu c nkamit na my x boyfrnd..acha afurahi bas had na mie nkafurah coz ni kama 1year hatujaonana bas tukaongea apo wee mara wazidi kuwa mrembo full kunishika mkono, mara y nlibadilishaga namba e.t bas nkampa tena my contact bas naw cancol et tumit smwhere for dina n stor Wadauz hatukuachana kwa ubaya kuna kitu tulitofautiana tyu..now am a some one wife ushaur kuna tatizo kujumuika nae. my mume yupo mbali time ninayo ntakuwa nakosea??
umeshakuwa mke wa mtu ya nini uhatarishe ndoa yako. je wewe mumeo angekucheat na ex wake ungejisikiaje? huyo hana lolote atatembea na wewe then atakuacha
 
Haina haja kuonana nae na hata mawasiliano yakate kabisa....! kama una mpango wa kugegedwa, endelea....!
 
Habari
bas leo katka pita pita zangu c nkamit na my x boyfrnd..acha afurahi bas had na mie nkafurah coz ni kama 1year hatujaonana bas tukaongea apo wee mara wazidi kuwa mrembo full kunishika mkono, mara y nlibadilishaga namba e.t bas nkampa tena my contact bas naw cancol et tumit smwhere for dina n stor
Wadauz hatukuachana kwa ubaya kuna kitu tulitofautiana tyu..now am a some one wife ushaur kuna tatizo kujumuika nae. my mume yupo mbali time ninayo ntakuwa nakosea??
Wewe hujatulia kabisa!!!Unakubali kushikwa mkono na ex wako?what the hell?Unataka kuniambia huoni ishara zote kama anakutaka?Hujui kama wewe mke wa mtu?Unafurahia attention unayopewa ehhh,ngoja ikutokee puani!!Natamani nikunase vibao akili zako zikae sawa maana naona zimekuvurugika...
Kata mawasiliano yoteeee na huyo ex na umuondoke kabisa akilini mwako !!!
 
Mume wangu nampenda na huyo kijana nlikuwa nampenda cz alikuwa mate wangu.
Umri wako unaonesha kiasi gani ambavyo hujapevuka kiakili!!Sidhani hata kama unaelewa mapenzi ni nini?Umekimbilia ndoa kabla wakati wake ulikuwa hujamaliza kuonjaonja!!
 
Yaani hata kama sio this time huyu jamaa lazima atakukaaazzza tu maana ushakubali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom