babadullah
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 508
- 320
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kulikuwa na kinywaji kiitwacho yeboyebo
Nilikua mdogo kipindi kile sikueza kuwa na pesa za kununua, nilikua, naumia sana kuona watoto wa wenye uwezo wakinywa huu uji.
Kilichonivutia zaidi ni ile zawadi ya viatu vya wazi ambavyo watu waliviita YEBOYEBO na hii ndo ikapelekea,viwanda kuiga na kutengeneza open shouse na kuziita yeboyebo mnakumbuka wakuu
Now nimekua,
Nina pesa nahitaji nionje utamu wa kinywaji cha yeboyebo
Wapi nitapata hiki kinywaji?